Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].kaweke viraka mkuu
Sio mapaja ni magoti mkuu...Ila si wanasemaga Fashion wenyewe..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].kaweke viraka mkuu
Ila uwe umeridhia mwenyewe
Hivi huwa hujisikii aibu kuivaa hiyo suruali magoti na mapaja yote yapo wazi?
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Eeeeewa! Naunga mkono hoja.Mavazi mazuri ya heshima...iwe jeans surual ya kitambaa poa tu ili mradi iwe ya heshima,vaa uwe smart sio unavaa Kama kibaka
Sipendi mwanaume anaevaa suruali za kutoboka mapajani na magotini utadhani suruali imeliwa na panya...nikiomuona mtu wa hivyo moja kwa moja namdefine vibaya
Kuna wale wanavaa kaptula.,pensi sijui
Yaani unakuta mtu amevaa iko kikaptula kipoo juuu juu huku magoti na mapaja yapo wazi...Mwanaume wa hivyo hapana
Sent using Jamii Forums mobile app
Umenikumbusha kuna kipindi nilitembelea kijiji kimoja geita Kule kuna shuguli za uchimbaji sasa kuna jamaa alikua katoka shimoni mwili mzima tope mpaka kichwani ila ndie alikuja kukumbatiwa na madem wakali sana wasafiii visu Atari wakasogea bar moja hivi ya karibu asee toka siku iyo nawaogopa wanawakeWe weka mpunga kwenye waleti hafu ikae mfuko wa nyumba hadi ukikaa upande mmoja wa mwili unashuka hapo utaona binti hujamuongelesha ameshakuamkia na tabasam murua
Sent using Jamii Forums mobile app
Umenikumbusha kuna kipindi nilitembelea kijiji kimoja geita Kule kuna shuguli za uchimbaji sasa kuna jamaa alikua katoka shimoni mwili mzima tope mpaka kichwani ila ndie alikuja kukumbatiwa na madem wakali sana wasafiii visu Atari wakasogea bar moja hivi ya karibu asee toka siku iyo nawaogopa wanawake
Habari wakuu, hivi wanawake mnavutiwa na aina gani ya mavazi kwa wanaume ,tiririkeni wakuu
ipitishwe sheria na sisi tuwe tunaruhusiwa kunusanusa hiviBabe, nimekoma....[emoji85] [emoji85] [emoji85]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] View attachment 1014966
Babe, ikwapi ile picha yangu nilipiga nikiwa shambani...!!
NiliifutaBabe, ikwapi ile picha yangu nilipiga nikiwa shambani...!!
Hapa kwenye simu yangu mbona sijaiona...??