Hivi style gani ya mavazi wanawake mnavutiwa nayo kwa wanaume

Nakazia, naongezea wale wanaovaa sijui macheni makubwa wameyaning'ing'iniza au mipete ya ajabu. Mwanaume vaa saa tu inatosha kama ni pete basi iwe ya ndoa, kifupi sipendi mtu anaevaa pete kama urembo

Sent using Jamii Forums mobile app
Na mm nikazie, sipendi mwanaume muda wote unamkuta na open shoes,. Na hayo machen Chen Yao siyapendi hawajuagi tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na mm nikazie, sipendi mwanaume muda wote unamkuta na open shoes,. Na hayo machen Chen Yao siyapendi hawajuagi tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Na wanaopaka madawa kichwan hapana kwa kwel, unakuta mkaka kichwan nywele kama manyoya ya paka kajisiliba cjui ma superblack..mwanaume vaa tu kawaida nyoa nywele vzuri uwe smart bas.
 
Nimeona wamekuelekeza mkuu.. mimi nishakua mgeni kwenye huo mji sijui hata viwanja vyao tena
Mzigua umeshindwa kunidirect huku kwenu watoto wakali Grade A plus wanapatikana wapi? Mpaka nataka kuondoka tanga siioni ile " TANGA RAHA" iliyomfanya bwana misosi akatoa nyimbo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwahyo hizi Jeans zangu zilizochanika magotini nizitupe???au nigawe!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…