Hivi style gani ya mavazi wanawake mnavutiwa nayo kwa wanaume

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].kaweke viraka mkuu
Ila uwe umeridhia mwenyewe

Hivi huwa hujisikii aibu kuivaa hiyo suruali magoti na mapaja yote yapo wazi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio mapaja ni magoti mkuu...Ila si wanasemaga Fashion wenyewe..

Umeshafanikiwa kunifanya nijisikie aibu [emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Eeeeewa! Naunga mkono hoja.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi napenda avae vizuri apendeze na yawe mavazi ya HADHI! Siyo mtu unavaa kama mtu wa karne gani huko nyuma.
Na miguuni avae viatu akiwa anatoka, siyo mtu 24/7 mikobazi tuu sijui ndala (hivyo akivaa akiwa nyumbani sawa ila kutoka navyo no).
Wale wa kuvaa track (nguo za mazoezi)suit za surual na bukta wanageuza nguo za mitoko ndiyo sitamani kabisa.
Kwa kumalizia KILA MTU AVAE ANAVYOJISIKIA
 
We weka mpunga kwenye waleti hafu ikae mfuko wa nyumba hadi ukikaa upande mmoja wa mwili unashuka hapo utaona binti hujamuongelesha ameshakuamkia na tabasam murua

Sent using Jamii Forums mobile app
Umenikumbusha kuna kipindi nilitembelea kijiji kimoja geita Kule kuna shuguli za uchimbaji sasa kuna jamaa alikua katoka shimoni mwili mzima tope mpaka kichwani ila ndie alikuja kukumbatiwa na madem wakali sana wasafiii visu Atari wakasogea bar moja hivi ya karibu asee toka siku iyo nawaogopa wanawake
 
Mchimbaji wa madini na mhongaji mzuri, ndo maana wanawake wanapenda kwenda machimboni. Hafu ukiwa na pesa zinakunukia mwanamke yeyote utakayetaka kuongea nae lazima akusikilize kwa umakini, na hata wewe unakuwa na kiburi na kujiamini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vaa smart pendeza, jeans/cadet nzur,tshrt/shart safi, kiatu depend na ulivyovaa usipnd marangi meng mengi y nguo , chdni nying haipndez, vaa saa,chen ndogo nywel ziwr smart dred or umenyoa ...unukie , soks safi, n vitu simple wanawak wanapnda
Habari wakuu, hivi wanawake mnavutiwa na aina gani ya mavazi kwa wanaume ,tiririkeni wakuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jana nilivaa pensi,kishat flan na kiatu cha design bila soksi,demu kitaa et daaah aiseee una mguuuu!!Yani et alidata na hiki kigimbi halafu kina manyoyaaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…