Hivi style ya 'kikaptula' ya wanaume wa siku hizi imekaaje?

There's something wrong in our Mind Comrade.

Ukiwa na Mawazo haya unaonekana mshamba kweli (The same as u think). Ni zaidi ya hatari sana. Kuwa na hekima ni kujua mema na mabaya. Kujua mema na mabaya ni kujua kutofautisha. So sad..

Ujue "Sifa za nguo/mavazi ya Wanaume ni very Logical sana"?. Ukienda kwa fundi nguo (Nb; si fundi cherehani) na kumwambia akupimie aidha suruali/shati pasina kumpa vigezo vyovyote basi kitakachoshonwa hapo ndiyo nguo ya Wanaume?.

Soma "The knowledge and art of tailoring", ukubali au ukatae. Nje ya hapo/kutoa vigezo viso na mantiki ni sifa za nguo za kike. Nenda Sierra Leone, Mexico, Greek, Australia, Brazil na orodha inaendelea..Mavazi ya Kiume hayatofautiani kama ilivyo kwa dada zetu.

Lakini silishupalii sana hili suala. Tumeshapiga kelele na bado tunapiga na tutapiga pia. Haya ni Mamlaka kutoka kwa Mungu na si apendavyo binadamu. Ni sharti utofauti uwepo kimavazi, kati ya Me na Ke.

Tuige vyote katika Dunia hii
 
Hapo wanawake kama nawaona.. "Hivi huyu yuko serious au utani wa mitandao"
 

" I don't wear skinny jeans coz my nuts don't fit'-Hov
 
mhn! mimi ni mmoja ninayependa kuvaa kaptura lakini kadet na kubwa za kieshima na hasa nikiwa shamba au safari ili niwe mwepesi kutembea kwa haraka lakini mi mshamba kidogo navaa kaptura kama askari wa kikoloni ndevu kubwa na sio hizi za vijana mambo yote nje!

Kwa sasa mwili umeongezeka sizivai sana kama zamani nimeamia kwenye suruali za mazoezi zaidi.
 
Hizo kaptula zipo za aina mbili
1: zenye muonekano wa kishoga
Hizi huwa ni fupi zipo juu ya magoti na bado zinakunjwa, mtu anaevaa hivi hata huulizi muonekano unamtambulisha.

2: zenye muonekano wa kitanashati
Hizi zinavuka magoti, na zinapendeza sana wavaaji, ukute mkaka kavaa na T-shirt yake kweli wanapendeza.
 
Katika mavazi ambayo siwezi kuvaa ni hivi vipensi kuna binti mmoja aliniletea zawadi nikachukua nikakiweka chini ya uvungu wa kitanda
 
Naipenda sana hii style wengi wetu tunakaga wanasport halafu Kaptula inakufanya uwe free
NOTE Ila mi navaaga Kaptula sio Kikaptula
 
Reactions: BRN
Check hair style ya mnyama kanye....very simple low cut ila bongo sasa mpaka tufuge vimchicha kichwani ndo ujulikane msanii!!
 
mkuu anamaanisha vilivyokaa kike kike,hii mbona fresh tu
 
Mimi nazani kwa hapo pana kitu. Na pia ilibidi wajue inapendeza zaidi ukiwa na usafiri wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…