Hivi style ya 'kikaptula' ya wanaume wa siku hizi imekaaje?

Asili yake ni ma gay wa ulaya sasa huku kwetu wanaojiona wajanja wenye vijihela ndo wanavaa kama fasheni.Si tunawaangalia tu,walisuka nywele,wakatoga masikio na kuweka vidani puani,wanavaa blauzi na viatu vya kike tunawaangalia tu,sasa acha wavae vikaptula na hatimaye bikini!
 
Imekaa maalumu sehemu za joto. Kama uko sehemu za baridi achana na vikaputula.
 
Mashoga ao serious am telling you bro mtu anayejielewa kujiheshimu na kutunza utu wake hawezi vaa hivyo akaenda mazingira public
Ni kweli kabisa mimi ni mdau wa fashion lakini hapo sijakubaliana nako unakutamtu mpaka unashindwa vuka barabara unabadilisha njia ili tu hata uskutane naye akakusimamisha
 
hapa tatizo sio kukerwa na mvaaji, ila sasa tunataka kujua kama ni vazi tu la kawaida au kuna na tangazo la biashara ndani yake.
 
hapa tatizo sio kukerwa na mvaaji, ila sasa tunataka kujua kama ni vazi tu la kawaida au kuna na tangazo la biashara ndani yake.
Hakuna mavazi rasmi ya wanaojihusisha na mapenzi ya jinsia moja......

Badili mitazamo yako juu ya watu wasiokuwa na impacts kwenye maisha yako ili uishi maisha yako kwa furaha na amani........
 
Kama kuvaa, kavaa yeye, wewe inakuhusu nini?
Hata asipova kaptula inakufurahisha nini?
Tujifunze kujali mambo yetu na kujiepusha na wengine
 
Umejibu vyema!
 
Dah yaan wanatia aibu sana na hivyo kikaptura
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…