The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,582
- 14,167
Moja kwa Moja kwenye mada.
Sipingi kutolewa Vishikwambi ila naona sio sawa kuweka sherehe jambo la kutoa maelekezo na maagizo tu.
Kila kitu viongozi wanataka kongamano hafla nk,vya nini hivyo?
Kwamba Waziri Mkuu Kassim Majaliwa atakuwa mgeni rasmi kwenye hafla ya Uzinduzi wa ugawaji vishikwambi. Hii Nchi haitakuja kuishiwa vituko.
Hivi suala la kugawa vishkwambi linahitaji sherehe kweli?
Wacha inyeshe tujue panapovuja, wananchi wafunge Mikanda ila wao walegeze.
Huenda Tanzania inakabiliwa na mdororo wa Brain power kwa watu wake.👇