Siyo kweli. Aliyeiharibu ucchumi ni jini jiwe. Mama anaupiga mwingi kututoa kwenye shimo alimotuacha shetani aliyekuwa ikuluNchi inakabiliwa na mdororo mkubwa wa kiuchumi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siyo kweli. Aliyeiharibu ucchumi ni jini jiwe. Mama anaupiga mwingi kututoa kwenye shimo alimotuacha shetani aliyekuwa ikuluNchi inakabiliwa na mdororo mkubwa wa kiuchumi.
Hata hivyo neno mdororo ni linatumika vibaya,hakuna mdororo wowote wa Uchumi..Siyo kweli. Aliyeiharibu ucchumi ni jini jiwe. Mama anaupiga mwingi kututoa kwenye shimo alimotuacha shetani aliyekuwa ikulu
Kuna kampeni ya madawati ilifanyika miaka ya juziKuna shule watoto wanakaa chini
Mkuu wao awape muongozo. Kukaa kimya inaonyesha anaona sawaAcha kashfa kwa cheo cha urais, hayo unayoyaona wanafanya watendaji ndio tabia halisi za jamii yetu ya Kitanzania.... kupenda raha na starehe
umeelewa kweli kinachojadiliwa hapa?Mikopo yote ina kwenda kutumika kwenye mambo ya ajabu ajabu tu.
Wameshagawa hukoo kwenu???Moja kwa Moja kwenye mada.
Sipingi kutolewa Vishikwambi ila naona sio sawa kuweka sherehe jambo la kutoa maelekezo na maagizo tu.
Kila kitu viongozi wanataka kongamano hafla nk,vya nini hivyo?
Kwamba Waziri Mkuu Kassim Majaliwa atakuwa mgeni rasmi kwenye hafla ya Uzinduzi wa ugawaji vishikwambi. Hii Nchi haitakuja kuishiwa vituko.
Hivi suala la kugawa vishkwambi linahitaji sherehe kweli?
Wacha inyeshe tujue panapovuja, wananchi wafunge Mikanda ila wao walegeze.
Huenda Tanzania inakabiliwa na mdororo wa Brain power kwa watu wake.[emoji116]
View attachment 2405822View attachment 2405687
HaaWameshagawa hukoo kwenu???