Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
lakini hii nchi inapokea kitu inaitwa maguta ghafi.😀mulemule😂Niliwahi kushauri kwamba....
Usiandike uzi kama upo Kitamba white, maana lazima utaonekana umekata vyombo tu...🤣
1. Hakuna kitu inaitwa "Sheri", lakini kuna kampuni ya mafuta inaitwa Shell.
2. Hakuna fuel inayokuja ikiwa chafu, lakini hii nchi inapokea kitu inaitwa maguta ghafi.
maguta ghafi sio big deal sababu g na f ni adjacent key kwahiyo ni typing error ya kawaida tu.lakini hii nchi inapokea kitu inaitwa maguta ghafi.😀mulemule😂
lakini hii nchi inapokea kitu inaitwa maguta ghafi.😀mulemuleNiliwahi kushauri kwamba....
Usiandike uzi kama upo Kitamba white, maana lazima utaonekana umekata vyombo tu...🤣
1. Hakuna kitu inaitwa "Sheri", lakini kuna kampuni ya mafuta inaitwa Shell.
2. Hakuna fuel inayokuja ikiwa chafu, lakini hii nchi inapokea kitu inaitwa maguta ghafi.
PoC: Shell ni brand name ya kampuni nadhani ya uingereza inayojishughulisha na uchimbaji usafirishaji, usambazaji na uuzaji wa mafuta ya vyombo vya moto na vilainishi vyakeHabari wana JF, swali langu linalenga watumiaji wa vyombo vya moto.
Je, ni kweli mafuta machafu yapo kwenye baadhi ya vituo vya mafuta au ni uzushi tuu?
Na kama ni kweli kuna mathara gani unapoweka hayo mafuta kwenye chombo cha moto?
Hii biashara huria imetuletea wafanyabiashara holela wanaojali zaidi mwonekano wa nje kuliko usalama wa ndaniNaendelea

Madhara yake ni nini unapoweka mafuta machafu kwenye gari?Niliwahi kushauri kwamba....
Usiandike uzi kama upo Kitamba white, maana lazima utaonekana umekata vyombo tu...🤣
1. Hakuna kitu inaitwa "Sheri", lakini kuna kampuni ya mafuta inaitwa Shell.
2. Hakuna fuel inayokuja ikiwa chafu, lakini hii nchi inapokea kitu inaitwa maguta ghafi.
Ukweli upo na madhara yake ni kuharibu mfumo wa gari,kuwa na miss nkHabari wana JF, swali langu linalenga watumiaji wa vyombo vya moto.
Je, ni kweli mafuta machafu yapo kwenye baadhi ya vituo vya mafuta au ni uzushi tuu?
Na kama ni kweli kuna mathara gani unapoweka hayo mafuta kwenye chombo cha moto?
Hivi BP haipo?Hii biashara huria imetuletea wafanyabiashara holela wanaojali zaidi mwonekano wa nje kuliko usalama wa ndani
Mamlaka nazo labda kwa uzembe tu au kutofahamu na sababu nyinginezo wamejikuta wanatoa tu vibali vya ujenzi wa vituo vya nafuta bila kupata ithibati za
Mtaji wa mhusika
Geological survey ya sehemu kinapotaka kuwekwa kituo. Hii ni muhimu sana sana kwa uhai na usalama wa tank
Mahali penye udongo wenye kiwango kikubwa cha unyevunyevu acid na alkaline ni hatari na hapafai kwa usalama na uhai wa tank
Sehemu kama hiyo na kwa aina ya matank yanayotumika ni chini ya mwaka tank halifai kwa kitu na unyevu.. Hapa ndio uchafu wa mafuta hujotokeza
Aina ya matank yetu kwenye vituo vingi ni majanga.. Chuma ni gauge ndogo.. Na rangi inayopigwa ni hizi antrust za kawaida na coating ni chache
Mafuta ni makali sana na yanakula chuma.. Inabidi chuma kipigwe rangi maalum yenye unene wa kutosha sana
Nje ya tank pia kuna rangi yake maalum kwa ajili ya kuzuia kutu
Halafu kuna hizo sensor za kutambua kutu na unyevu.. Je wa
Madhara yake ni nini unapoweka mafuta machafu kwenye gari?
Gari kukosa nguvu
Gari kuwa na miss
Nossel kuziba
Plugs kupata ukungu
Baadhi ya magari kushindwa kuwaka kabisa
Haya marathon wengi hawayaoni ama hawayajui kwakuwa kwa Africa na Tanzania kwa ujumla tunatumia kwa sehemu kubwa magari ya kijapan na old models ...Uliza mateso wanayopata watu wanaotumia gari za ulaya
Hivi ndio vituo vyenye mafuta ya uhakika, masafi na salama kwa gari yako
SHELL
ENGEN
PUMA
TOTAL
GAPCO
Hawa pia ni wasambaji lakini hawawezi kukupa Mafuta hao bila kujiridhisha matank, pump na taratibu nyingine za usalama na usafi kwenye kituo chako.. Ndio maana hawana vituo vingi ila bidhaa zao ni hakika kwa asilimia 1001
BP ndiyo PUMAHivi BP haipo?
Mkuu Mshana Jr GAPCO Kwa hapa DAR vituo vyao vipo mitaa gani maana naona Leo umetoa elimu kubwa Sana juu ya vituo vya mafutaHii biashara huria imetuletea wafanyabiashara holela wanaojali zaidi mwonekano wa nje kuliko usalama wa ndani
Mamlaka nazo labda kwa uzembe tu au kutofahamu na sababu nyinginezo wamejikuta wanatoa tu vibali vya ujenzi wa vituo vya nafuta bila kupata ithibati za
Mtaji wa mhusika
Geological survey ya sehemu kinapotaka kuwekwa kituo. Hii ni muhimu sana sana kwa uhai na usalama wa tank
Mahali penye udongo wenye kiwango kikubwa cha unyevunyevu acid na alkaline ni hatari na hapafai kwa usalama na uhai wa tank
Sehemu kama hiyo na kwa aina ya matank yanayotumika ni chini ya mwaka tank halifai kwa kitu na unyevu.. Hapa ndio uchafu wa mafuta hujotokeza
Aina ya matank yetu kwenye vituo vingi ni majanga.. Chuma ni gauge ndogo.. Na rangi inayopigwa ni hizi antrust za kawaida na coating ni chache
Mafuta ni makali sana na yanakula chuma.. Inabidi chuma kipigwe rangi maalum yenye unene wa kutosha sana
Nje ya tank pia kuna rangi yake maalum kwa ajili ya kuzuia kutu
Halafu kuna hizo sensor za kutambua kutu na unyevu.. Je wa
Madhara yake ni nini unapoweka mafuta machafu kwenye gari?
Gari kukosa nguvu
Gari kuwa na miss
Nossel kuziba
Plugs kupata ukungu
Baadhi ya magari kushindwa kuwaka kabisa
Haya marathon wengi hawayaoni ama hawayajui kwakuwa kwa Africa na Tanzania kwa ujumla tunatumia kwa sehemu kubwa magari ya kijapan na old models ...Uliza mateso wanayopata watu wanaotumia gari za ulaya
Hivi ndio vituo vyenye mafuta ya uhakika, masafi na salama kwa gari yako
SHELL
ENGEN
PUMA
TOTAL
GAPCO
Hawa pia ni wasambaji lakini hawawezi kukupa Mafuta hao bila kujiridhisha matank, pump na taratibu nyingine za usalama na usafi kwenye kituo chako.. Ndio maana hawana vituo vingi ila bidhaa zao ni hakika kwa asilimia 1001
Hao total sasa hivi wapo hadi uswazi malamba mawiliHii biashara huria imetuletea wafanyabiashara holela wanaojali zaidi mwonekano wa nje kuliko usalama wa ndani
Mamlaka nazo labda kwa uzembe tu au kutofahamu na sababu nyinginezo wamejikuta wanatoa tu vibali vya ujenzi wa vituo vya nafuta bila kupata ithibati za
Mtaji wa mhusika
Geological survey ya sehemu kinapotaka kuwekwa kituo. Hii ni muhimu sana sana kwa uhai na usalama wa tank
Mahali penye udongo wenye kiwango kikubwa cha unyevunyevu acid na alkaline ni hatari na hapafai kwa usalama na uhai wa tank
Sehemu kama hiyo na kwa aina ya matank yanayotumika ni chini ya mwaka tank halifai kwa kitu na unyevu.. Hapa ndio uchafu wa mafuta hujotokeza
Aina ya matank yetu kwenye vituo vingi ni majanga.. Chuma ni gauge ndogo.. Na rangi inayopigwa ni hizi antrust za kawaida na coating ni chache
Mafuta ni makali sana na yanakula chuma.. Inabidi chuma kipigwe rangi maalum yenye unene wa kutosha sana
Nje ya tank pia kuna rangi yake maalum kwa ajili ya kuzuia kutu
Halafu kuna hizo sensor za kutambua kutu na unyevu.. Je wa
Madhara yake ni nini unapoweka mafuta machafu kwenye gari?
Gari kukosa nguvu
Gari kuwa na miss
Nossel kuziba
Plugs kupata ukungu
Baadhi ya magari kushindwa kuwaka kabisa
Haya marathon wengi hawayaoni ama hawayajui kwakuwa kwa Africa na Tanzania kwa ujumla tunatumia kwa sehemu kubwa magari ya kijapan na old models ...Uliza mateso wanayopata watu wanaotumia gari za ulaya
Hivi ndio vituo vyenye mafuta ya uhakika, masafi na salama kwa gari yako
SHELL
ENGEN
PUMA
TOTAL
GAPCO
Hawa pia ni wasambaji lakini hawawezi kukupa Mafuta hao bila kujiridhisha matank, pump na taratibu nyingine za usalama na usafi kwenye kituo chako.. Ndio maana hawana vituo vingi ila bidhaa zao ni hakika kwa asilimia 1001
Mkuu na ujanja wangu wote uwa nikifika petrol station uwa naangalia pump isiyokua na foleni sijali unleaded au premium,hapa nilipo najichanga ninunue engine mpya,nipe somo za hayo mafuta na mafuta gani ni mazuri kati ya hayo kwa engine ya 3sge mkuuHuwa nazingatia Sana vituo vya kuweka mafuta.
Huwa natumia UNLEADED PETROL TU hasa kwenye vituo vya puma, total,oryx na engen
Hii biashara huria imetuletea wafanyabiashara holela wanaojali zaidi mwonekano wa nje kuliko usalama wa ndaniNaendelea
Madhara yake ni nini unapoweka mafuta machafu kwenye gari?Niliwahi kushauri kwamba....
Usiandike uzi kama upo Kitamba white, maana lazima utaonekana umekata vyombo tu...🤣
1. Hakuna kitu inaitwa "Sheri", lakini kuna kampuni ya mafuta inaitwa Shell.
2. Hakuna fuel inayokuja ikiwa chafu, lakini hii nchi inapokea kitu inaitwa maguta ghafi.
Ndio Puma ya sasaHivi BP haipo?

Ndio PumsHivi BP haipo?
Vipo karibia kila wilayaMkuu Mshana Jr GAPCO Kwa hapa DAR vituo vyao vipo mitaa gani maana naona Leo umetoa elimu kubwa Sana juu ya vituo vya mafuta