Leak
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 52,916
- 43,505
Kwa sasa anaitwa Faiza Ally wala siyo Mrs. Mbilinyi. Katika hili nafikiri si vyema hata kidogo kumuhusisha Mheshimiwa Joseph Mbilinyi katika kadhia hii.
Haya yote yasinge tokea bila Sugu...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa sasa anaitwa Faiza Ally wala siyo Mrs. Mbilinyi. Katika hili nafikiri si vyema hata kidogo kumuhusisha Mheshimiwa Joseph Mbilinyi katika kadhia hii.
Chizi huyu. Si alivaa pampaz cku ya birthday yake!? Nae sugu alimtoa wapi changu huyu!?
Ukiwa na maana gani...!?Haya yote yasinge tokea bila Sugu...
si amtafute babuuuu dr slaa
Muulize Nape kwanini aliachana na mama watoto wake aliyezaa naye mtoto wa kwanza? Halafu njoo nipe jibu
nape anaingiaje kwa sugu na faiza?????
Sungu walishaachana na huyo mzazi mwenzake so mwanamke yupo Disparate sana kawa kama chizi mtandaoni.
Akili zake hazina tofauti na SUGU, ndege wafananao huruka pamoja.