kyanyangwe
JF-Expert Member
- Oct 31, 2018
- 1,511
- 4,369
Kampuni ya wachinaNi nini io
Duuuh wapo wapi mkuuKampuni ya wachina
Wanazalisha sabuni za doff,kleesoft, pampas kama softcare, pads brand ya softcare, pia wanazalisha tiles brand ya TWYFORD na vioo vya nyumba.
Ubungo business parkDuuuh wapo wapi mkuu
Nitume CV yangu
Kila siku watu wanaacha kazi hapa mkuu,ni vile ramani zimenigomea tu ndo nikaona nije nipoteze muda hapa walau nipate chochote kitu ila ndo hivyo mishahara ni inachelewa mpaka basiao kila sku naona matangazo yao ya sales kwenye linked nkajiulza hawa n wanaajir na kufukuza kila mwez
Wewe unawajua vizuri sana mkuu.me niko keds.Hao majina mengine ni Keds, Stronspur bingwa wa sabuni za kleesoft, Doffi, tiles vyombo na vitu vingine kibao. Kama hauko nafasi ya Sales ya Store kubwa au store manager, kimbia ufe nawajua hawa.
Aisee!!Hao majina mengine ni Keds, Stronspur bingwa wa sabuni za kleesoft, Doffi, tiles vyombo na vitu vingine kibao. Kama hauko nafasi ya Sales ya Store kubwa au store manager, kimbia ufe nawajua hawa.
Wachina na matapeli kwa kivuli cha uwekezajiPole mkuu, huku ndo mnalia wachina wawekeze Tz wa kutosha tusubiri majibu, pole sana kwakweli
ExactlyWachina na matapeli kwa kivuli cha uwekezaji