Hivi Sunda International huwa wanalipa mishahara kweli?

Hivi Sunda International huwa wanalipa mishahara kweli?

Kuna ile Sunda branch ya Mwanza mbona wafanyakazi wake walikuwa wanakula bata sana. Akiajiriwa miezi 5 tuu tayari ana gari maisha safi.
 
Tatizo ni watu kukariri kuwa mshahara ni mwisho wa mwezi wa Calendar. Kila kampuni inaweza kuwa na tarehe tofauti ya kulipa mshahara. Muhimu ni Consistence
 
Back
Top Bottom