trudie JF-Expert Member Joined Jan 15, 2014 Posts 4,547 Reaction score 11,151 Oct 16, 2025 #21 Kuna ile Sunda branch ya Mwanza mbona wafanyakazi wake walikuwa wanakula bata sana. Akiajiriwa miezi 5 tuu tayari ana gari maisha safi.
Kuna ile Sunda branch ya Mwanza mbona wafanyakazi wake walikuwa wanakula bata sana. Akiajiriwa miezi 5 tuu tayari ana gari maisha safi.
G gwapole JF-Expert Member Joined Aug 21, 2025 Posts 2,599 Reaction score 4,674 Oct 16, 2025 #22 Tatizo ni watu kukariri kuwa mshahara ni mwisho wa mwezi wa Calendar. Kila kampuni inaweza kuwa na tarehe tofauti ya kulipa mshahara. Muhimu ni Consistence
Tatizo ni watu kukariri kuwa mshahara ni mwisho wa mwezi wa Calendar. Kila kampuni inaweza kuwa na tarehe tofauti ya kulipa mshahara. Muhimu ni Consistence