Jbst
JF-Expert Member
- Nov 29, 2020
- 1,971
- 4,085
Hii nchi imelaniwa, hivi nchi hii yumefanikiwa kwenye nini sasa? Kila kitu hatuwezi mpaka taa tu jamani zinazima!! Hii ni aibu sana.
Ni halali wazungu watutukane tu sisi ni wapumbavu, Kama vitu vidogo tu Kama taa tunashindwa tutaweza nn sasa? Hii nchi ina watu wapumbavu sana, zaidi ya watu 90% nchi hii ni wajinga na wapumbavu na viongozi tunawapata ktk hao wapumbavu.
Hili bara ni la giza limelaaniwa, tumuombe Mungu msamaha atuondolee hii laana bila hivo tutaendelea kuchelewa ktk kila kitu.