Jobless_Billionaire
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 3,106
- 8,101
Wakuu kumekuchaje? Mimi ni mfuatiliaji wa kipindi cha BAMBA LIVE, kinachoendeshwa na BobCat. Kawaida ya kipindi hiki jamaa hupita mtaani na kuwauliza maswali baadhi ya watu. Maswali yenyewe anaweza kuuliza na kuweka terminology ya kiingereza ambayo ukiitafsiri unakuta ni nje kabisa na uelekeo wa swali au unakuta haina mantiki na uwiano katika swali husika.
Cha ajabu watu hujibu na kufunguka kwa maelezo ya kutosha as if wanachoelezea wanapatia. Mtu anashindwa hata kuhoji tu na kuomba kuelekezwa terminilogy ambayo hajaielewa ili aeleweshwe aweze kujibu vyema badala yake anajibu kulingana na uelekeo wa swali tu. Sa sijui watanzania tumevurugwa au shida inakuwa wapi sielewi. May be zinakuwa ni script tu. Huwa nacheka sana. Tujifunze kuelewa kabla ya kukurupuka kujibu vitu.
Nimecheka sana