Hivi takwimu za nani anamiliki silaha zipi na kwa kiwango gani tangu lini nani huwa anazihakiki?

Hivi takwimu za nani anamiliki silaha zipi na kwa kiwango gani tangu lini nani huwa anazihakiki?

mitale na midimu

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2015
Posts
10,420
Reaction score
17,735
Dunia kadili siku zinavokwenda inafikirisha sana.

Vita ni siri. Kumiliki silaha ambayo ikimdhuru adui ushindi unapikana ni jambo LA Muhimu. Na ni muhimu zaidi adui akiwa hajui ukweli wrote ikiwemo

Idadi
Uwezo halisi
Muda wa kumfikia.
Etc

Kinachonishangaza.

Katika media ambazo Nazi sio za kuhaminika sana tunaaminishwa

Nani anaNuclear kadhaa, huyu anahypasonic huyu hana, huyu anazo lakini hakuna.

Wakuu uhakiki wa hizo taarifa za ndaninkabisa za kijeshi huwa watu wanazihakiki vipi uhalali wake.?
 
Back
Top Bottom