Hivi TANESCO huu umeme ambao mmesema hamtakata sikukuu hii mmeutoa wapi

Sambinyakwe kitololo

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2022
Posts
2,419
Reaction score
2,940
Nazidi kuamini baadhi ya maneno kuwa hapa Kuna watu wachache wanahujumu taifa kwa faida zao wenyewe

Inakua haina tofauti na kauli ya jamaa mmoja aliewahi sema mo atapatikana siku flani na kweli akapatikana

Hawa ndugu zetu tanesco kwa kweli wanatutesa Sana nawaza huu umeme ambao haukatiki na wamesema hawatakata wameutoa wapi ..inamaana wanaamua tu kata kwa amri ya watu flani
Watimize mipango yao ikiwa umeme unatosha
 
Subiri kwanza siku kuu ipite ndo ujue hautakatwa kweli
 
Nazidi kuamini baadhi ya maneno kuwa hapa Kuna watu wachache wanahujumu taifa kwa faida zao wenyewe

Inakua haina tofauti na kauli ya jamaa mmoja aliewahi sema mo atapatikana siku flani na kweli akapatikana

Hawa ndugu zetu tanesco kwa kweli wanatutesa Sana nawaza huu umeme ambao haukatiki na wamesema hawatakata wameutoa wapi ..inamaana wanaamua tu kata kwa amri ya watu flani
Watimize mipango yao ikiwa umeme unatosha
Huku kwetu usiku haukuepo
 
Hapa
Screenshot_20221225-095419.png
 
Back
Top Bottom