Sambinyakwe kitololo
JF-Expert Member
- Nov 15, 2022
- 2,419
- 2,940
jawabu hili hapaHuenda wanaamini viwanda vingi na mitambo mikubwa haitakua na kazi kwahiyo utatosha tu.
Likely reason.....Though there's nothing you could do to the contrary rather that complaining.Huenda wanaamini viwanda vingi na mitambo mikubwa haitakua na kazi kwahiyo utatosha tu.
Huku kwetu usiku haukuepoNazidi kuamini baadhi ya maneno kuwa hapa Kuna watu wachache wanahujumu taifa kwa faida zao wenyewe
Inakua haina tofauti na kauli ya jamaa mmoja aliewahi sema mo atapatikana siku flani na kweli akapatikana
Hawa ndugu zetu tanesco kwa kweli wanatutesa Sana nawaza huu umeme ambao haukatiki na wamesema hawatakata wameutoa wapi ..inamaana wanaamua tu kata kwa amri ya watu flani
Watimize mipango yao ikiwa umeme unatosha
Subiri kwanza siku kuu ipite ndo ujue hautakatwa kweli
Pole siku ya tatu Sasa haujakatikaHuku kwetu usiku haukuepo
Kazi kweli kweli. Sisi maji tu ndo tunatoa 24 hours lkn umeme matatizo.Pole siku ya tatu Sasa haujakatika
HapaNazidi kuamini baadhi ya maneno kuwa hapa Kuna watu wachache wanahujumu taifa kwa faida zao wenyewe
Inakua haina tofauti na kauli ya jamaa mmoja aliewahi sema mo atapatikana siku flani na kweli akapatikana
Hawa ndugu zetu tanesco kwa kweli wanatutesa Sana nawaza huu umeme ambao haukatiki na wamesema hawatakata wameutoa wapi ..inamaana wanaamua tu kata kwa amri ya watu flani
Watimize mipango yao ikiwa umeme unatosha
Megawatts hours ..kwa hio kila lisaa hicho kiwanda kilikuwa kinatumia umeme huo🤔