hawataki shida!
heee.............kumbe hadi tanga!!?mimi hii niliikuta unguja bana na nilishangaa sana mkuu,hadi saa tatu hakuna duka wazi.......nilienda ofisini bila kupiga mswaki ila breki ya chai ndo nikatafuta duka nikaswafi kinywa.waswahjili noma sana aisee!
Kwahiyo hawo ni waswahili na nyie ni wazungu au masokwe?
ni kweli huelewi au unajifanya huelewi!!?..........''waswahili kwa maana ya kuwa na asili nacho,wat wengi wa pwani wankuwa reffered to as ''waswahili'' kwa sababu hiyo na watu hawa wana utamaduni tofauti kabisa na sisi tutokao bara huko.uswahili sio tusi mkuu sijui kwanini unatoka povu namna hiyo!
halafu.........''waswahili''...''wazungu''..............na ''masokwe'' vina uhusiano.......katika muktadha uliourejea hapa?!!!
Nimezunguka karibu mji mzima kutafuta mswaki maduka yamefungwa mpaka saa hizi? (mbili na nusu?) Huu mji wachaga hakuna au waliopo wavivu!! I can't imagine mchaga mvivu anakuwaje?
pole, ndo tanga hiyo
Nimezunguka karibu mji mzima kutafuta mswaki maduka yamefungwa mpaka saa hizi? (mbili na nusu?) Huu mji wachaga hakuna au waliopo wavivu!! I can't imagine mchaga mvivu anakuwaje?
wakati huo mwanauwani, mwanamwema, mwanamvua, mwanachema, yupo kwa kitanda, kiunoni chachandu kama mkanda wa jeshi, jicho kungu manga, hina hadi kwenye mavu...mbi huyo mchaga ataamkia wapi? wafanya machezo nini?
Jambo watu8! Nadhani suala ni kama walivyosema wenyeji kuwa every Saturday is KALEMBO time! That you are not allowed to open your business before 9 am ili kushiriki usafi wa jumla wa jiji.