Wakapewe majukumu mengine hivi unakaaje na shimo katikati ya lami miaka 2? Na sheria zilivyokuwa za ajabu....ukikutwa unaziba au kulifukia hilo shimo unakamatwa.Mimi napendekeza issue ya ukaguzi wa barabara wa-subcontract kwa Wachina. Those people are hard workers, serious, and cheap. Kitengo cha inspection kiondolewe na wafanyakazi wake wawe redundant.
Wanagawana tender za kufanya kwa kampuni zaoHakuna kitu mnanikera kama mashimo yaliyoko lami ambayo yanadumu mwaka mzima...