Grena
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 656
- 1,553
Habari zenu wakuu,
Kuna visa nimekutana na wakaka ambao wamezaa Watoto Wengi na hawahitaji Watoto zaidi mpaka ikabidi nijiulize hili. [emoji23][emoji23]
Huyu wa kwanza hajaoa anamiaka 30, anawatoto wanne kila mmoja na Mama yake, Ukipiga nae story atakwambia jinsi gani anajuta kuwa na Watoto Wengi kwa umri huo na hataki wengine kabisa lakini hajui afanyaje Maana sio mfuasi wa kinga.
Wapili yeye nae similar case hajaoa anawatoto watatu kila mmoja na Mama yake, Yeye nae ndo hataki kabisa kusikia kuhusu Watoto kwa Sasa labda baadae Sana. Inshort majamaa yanateseka Halafu Kama vile kila baada ya muda fulani lazima wanawake wanaodate nao wafyatue bila makubaliano.
Kwenye reality show ya mwanamieleka John Cena yeye aliweka wazi kaweka uzazi wa mpango wa wanaume sababu hataki kupata Watoto kwa Sasa.
Hivi jamani bongo hapa hakuna uzazi wa mpango wa wanaume Kama kwa wenzetu huko. Maana Kuna watu wanateseka na stress, Hawataki kuwa Father of all nations.