Kina Mruma ndio hawa walileta ripoti ambayo Tundu aliita Professional Rubbish.Ndiyo maana hatuna maendeleo mpaka leo sababu ya mambo yetu ya kijinga
Kabyemela 95 , kumbuka hii sio post ya kisiasa , kwa mwanasiasa sawa anaweza kushika nafasi hata akiwa na miaka 100Joe Biden ana miaka mingapi?Spika wa bunge wa Marekani ana miaka 81..afu ujuzi hauzeeki
Waliteuliwa wakaambiwa na cha kuandika kwenye report yao kumfurahisha diktetaKina Mruma ndio hawa walileta ripoti ambayo Tundu aliita Professional Rubbish.
We mjin** huyu Prof mwanzoni aliteuliwa na nani?huoni kama ameteuliwa kwa kipindi cha pili baada ya awamu ya kwanza kuisha?au unaandika kutafuta sifaMwendazake atleast alikuwa anateua vijana, huyu bado hajazoea ofisi.
Teuzi zetu nyingi hazijali performance ni kickbacks tu, favors za kisiasa, connections , kujuana etc.Waliteuliwa wakaambiwa na cha kuandika kwenye report yao kumfurahisha dikteta
Ndiyo maana sisi ni masikini wa kutupwa na wakati tuna mali za kila ainaTeuzi zetu nyingi hazijali performance ni kickbacks tu, favors za kisiasa, connections , kujuana etc.
Ndo maana nikasema ujuzi hauzeeki..Unajua Anthony Fauci Director of Infectious Diseases ,taasisi iliyosimamia covid response Marekani and indirectly Dunia nzima, ana miaka mingapi?79 going 80....hizi sio kazi za utingo kwamba itatumika nguvu nyingi,issue ni akili kufanya kaziKabyemela 95 , kumbuka hii sio post ya kisiasa , kwa mwanasiasa sawa anaweza kushika nafasi hata akiwa na miak
Kabyemela 95 , kumbuka hii sio post ya kisiasa , kwa mwanasiasa sawa anaweza kushika nafasi hata akiwa na miaka 100
Kwa hiyo leo tunawaiga mabeberu?Joe Biden ana miaka mingapi?Spika wa bunge wa Marekani ana miaka 81..afu ujuzi hauzeeki
Kwani tusipoteua wazee,tunawaiga Nani?Kwa hiyo leo tunawaiga mabeberu?
Unaulizwa Tanzania hatuna succession plan, unataja akina Bidden na Pellosi! Unajua Bidden na Pellosi wamepatikanaje?Joe Biden ana miaka mingapi?Spika wa bunge wa Marekani ana miaka 81..afu ujuzi hauzeeki