Lakini mkuu sijawahi skia mgonjwa yeyote kutoka nje aje kutibiwa TanzaniaMkuu tunao madaktari wakutosha. Ila Chadema walikataa na mimi nawaunga mkono kwa sababu za kiusalama. Wamehofia usalama wake bado uko mashakani na ndio maana kapelekwa huko
Kweli aiseMatumiz mabaya ya pesa mkuu na kujiona wao ni zaid ya binanadam wa kawaida hii ilikuwepo toka enz za mkapa naona magufur kaipunguza
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio ndio
Kwahiyo hao wametumia israfu?inategemea ugonjwa na suala la mhusika wakati huo.
huwezi fananisha ishu ya TL na ishu kama ya Kinana au Ndugai