dimaa
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 4,174
- 5,658
Wassalam wakuu,
Hivi Tanzania hatuwezi kutibia watu kwa ustadi mzuri kabisa?
Unashangaa kila mwanasiasa ama mtu mwenye cheo kikubwa unaskia anaenda nje ya nchi kwa matibabu zaidi.
Mfano mzuri ni kwa tundu lisu kasafirishwa leo majira ya saasita usiku kwa matibabu zaidi,katika hospitali ya agakhan mjini Nairobi.
Kwani hospital za Tanzania ama madaktari wa Tanzania hawana viwango vya kuwatibu watu maarufu?
Sijawahi skia mtu kutoka kenya kaja kutibiwa tanzani.
Inaonekana tanzania kila kitu ipo nyuma!
Sent using Jamii Forums mobile app