Hivi Tanzania hawana ndege ya Rais?

Tutamnunulia Mwaka huu, ngoja afungue biashara vijawa wakalete pesa,Anastahili
Kuna ndege alinunua marehemu Mkapa (RIP) wakati huo Mramba akiwa waziri wa fedha,mzee Mramba alitoa kauli tata eti (watanzania watakula majani lakini ndege ya rais itanunuliwa). Mpaka JK alikuwa anaitumia. Humu kwenye awamu ya 5 ikawa haionekani,au marehemu hakuiamini na huyu haiamini, ila ilikuwa ndege classic , ni jet nzuri tu. Au 20years old ni mtuumba rais hawezi kuitumia? Kama haijafa ipo.
 
Mbona hiyo jiwe aliwapa ATCL hamkumbuki ilipigwaga hata rangi na kuwekewa nembo ya ATCL
 
Ile ndege hata mimi siwezi kupanda aiseee ukikaona kamepaa kamejichokea kanaonekana mkweche
 
Hiyo Gulf-Stream ipo na Mama Samia kaitumia sana akiwa makamu wa Rais
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…