Hivi Tanzania hawana ndege ya Rais?

Hivi Tanzania hawana ndege ya Rais?

si Hayati aliipiga chata za airtanzania au nakumbuka vibaya >?
 
Kila mara namuona Mama Samia akitumia ndege ya Air Tanzania kuzulu, tuseme hivi Tanzania hamna presidential plane ama vipi?

The late mwendazake made the presidential jet part of ATCL and started using the commercial ATCL Airbus plane for his own and so like her predecessor Samia does not and hasn't yet thought outside the box otherwise
 
Kuna ndege alinunua marehemu Mkapa (RIP) wakati huo Mramba akiwa waziri wa fedha,mzee Mramba alitoa kauli tata eti (watanzania watakula majani lakini ndege ya rais itanunuliwa). Mpaka JK alikuwa anaitumia. Humu kwenye awamu ya 5 ikawa haionekani,au marehemu hakuiamini na huyu haiamini, ila ilikuwa ndege classic , ni jet nzuri tu. Au 20years old ni mtuumba rais hawezi kuitumia? Kama haijafa ipo.
Wenae unaongea utumbo gani? Nani hakuiamini wakati hii airbus ni ya 2019? Unataka kusema kuanzia 2015 kwenye campaigns Magufuli alikua anatumia ungo?
 
Sema poleni watanzania maana kaua wengi sana ,fikiria bensaanane angekuwa mwanao wa kumzaa unge tamka tusimchukie marehemu ,kafilisi watu huyu sana
Ninyi nyumbu mnapenda conspiracy, Ben saanane sidhani hata kama magu alishasikia kama yupo binadamu amepewa jina la hifadhi ya taifa

For what? Huyo saanane hata mimi simjui mpaka kesho, hivi alikua nani? Balozi au House girl wa mbowe? Kwanza me au KE?
 
The late mwendazake made the presidential jet part of ATCL and started using the commercial ATCL Airbus plane for his own and so like her predecessor Samia does not and hasn't yet thought outside the box otherwise
Wewe ni kichaa
 
Mbona ovyo ovyo hivi?
Hili lenu waga wanalifunga mpaka na makomeo with at least 10 heavyweight manpower some must be militiamen 😅😅😅

images (37).jpeg
 
Juzi kati niliona makamu wa rais ikiitumia,nadhani hata majaliwa chato alienda nayo hiyo last week
 
Back
Top Bottom