Hivi Tanzania hawana ndege ya Rais?

Ushauri wako ungemfaa rais wako Uhuru Kenyatta, maana anatumia ndege iliyochoka haswa, iliyoachwa kuundwa toka 1997.
Hakuna ndege imechoka hapo, it must service its fulltime, ndio ikue retired, aerospace company ikiclose shop now we retire the aircraft?
 
Kuna hiyo gulfstream 550 mimi ndio najua ni mojawapo ya presidential jet.nyingine nadhani ni fokker 50 friendship ile majaliwa alienda nayo Chato juzi
 
Toka lini hizi ndege zilikua commercialised?

View attachment 1775692View attachment 1775693
Hiyo pamoja na foker plane na zingine sio presidential plane tena mzeebaba, iyo inabeba high profile visitors kama ambassadors etc na haiko chini ya ikulu tena correct me if am wrong hata ukitafuta ile hotuba ya mwendazake alidirect otherwise. Nashika shilingi bado correct me if am wrong
 
Ndege pekee iliokua kwenye presidential Fleet Magufuli alioitoa kwa ATCL ni hii, na bado pia wanatumia PM na Mwinyi

 
Utakuwa huzijui ndege wewe, utasemaje G550 imechoka? Ndege anayotumia Kenyatta Fokker 70 er ndiyo imechoka. Acha ujuwaji kwa vitu usivyovifahamu..
Kidege kama G550 ni cha watu binafsi, sio Rais anayetembea na delegation ya viongozi na wafanyabiashara mashuhuri kila anapokwenda.
 
Weee alipotea siku 2 baada ya kuja na ushahidi konki kuwa magu hana phd na alilalamika wiki kabla kuwa wasiojulikana waliopotea baada kufilia mbali mbwa.unataka nikuletee ushahid wa phd fake?alikuwa anamjua hadi mulaga ndo asimjue chuma bensaanane mungu afariji familia yake
 
Ushauri wako ungemfaa rais wako Uhuru Kenyatta, maana anatumia ndege iliyochoka haswa, iliyoachwa kuundwa toka 1997.
Ile inakula maitanance ya hali juu[emoji23][emoji23]
Unafikiria ile ndege inachanja mbuga kw mwaka mara ngapi..
Sio nyie mumenunua mkebe alafu hta upgrade hamuufanyii, kazi kuzunguka na ndege za shirika
 
Mbona hiyo jiwe aliwapa ATCL hamkumbuki ilipigwaga hata rangi na kuwekewa nembo ya ATCL
Ile aliyowapa ni ya zamani zaidi, zilikuwepo ndege mbili za Rais. Ile iliyonunuliwa kipindi cha Mkapa bado ipo na ni maalum kwa safari za Rais japo naona haitumiki sana tangu ziliponunuliwa ndege za ATCL
 
Hapana sio ile Gulf-Stream ndio kawapa ATCL, Aliwapa lile Fokker ambalo juzi Majaliwa alienda nalo kutembelea kaburi Chato
Yes, aliwapa Fokker, Gulf Stream bado ipo kwa matumizi ya Ofisi ya Rais.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…