Ndege ya Rais ipo,hata hiyo anayotumia ni ya serikaliKila mara namuona Mama Samia akitumia ndege ya Air Tanzania kuzulu, tuseme hivi Tanzania hamna presidential plane ama vipi?
Na hata huku kuna ndege ndogo ya rais tena mtambo haswa, sasa ww hujui kamaa hapo kenya alifika na wajumbe wengi watendaji kadhaa wa serikal hivyo isinge kuwa rahisi kutumia ndege ndogoIla ana ndege yake Rasmi, sio kila mara anatumia hiyo KQ.
Hawajui hawa. Kando na kuwa, ndege maalum ya Rais haitumiki Sana kama ya shirika kwa hivo inaweza kaa miaka 50 yet Ina flight hours kidogo Kuliko ya shirika iliyokaa miaka Tano pekee.Airforce One ya Marekani ipo tangu miaka ya 1970s hadi leo. Ile helicopter Marine One ukiiona hata sasa unaona kabisa imezeeka. Ndege zinakaa miaka 40 kwa uzuri kabisa
Baada ya maelezo haya uliyoyatoa, ni muda mwafaka wa kutuonesha Ndege ya Rais wa Kunyaland.Hawajui hawa. Kando na kuwa, ndege maalum ya Rais haitumiki Sana kama ya shirika kwa hivo inaweza kaa miaka 50 yet Ina flight hours kidogo Kuliko ya shirika iliyokaa miaka Tano pekee.
We ukweni mwanza unatafuta km sio tahiraWee binti, haya mambo ni ya ukweni. Hayakuhusu.
Baada ya maelezo haya uliyoyatoa, ni muda mwafaka wa kutuonesha Ndege ya Rais wa Kunyaland.
But thats a very lame reason you've used even though[emoji23]Hii thread ifungwe tu, Mtu anaulizia vitu vya watu wakati ya kwao mlango wanafunga na Komea Kwa nje ? [emoji23]
View attachment 1777331
View attachment 1777332
But thats a very lame reason you've used even though[emoji23]
I think the best question would have been did your government sell the gulfstream?No, [emoji23] The thread should be closed. Tanzania has more than 4 Planes fir the President and VIP officials. And even the whole ATCL fleet belongs to the Government , They have a lot of planes at their disposal.
I think the best question would have been did your government sell the gulfstream?
Cant see the pic, anyway i checked its flight history, there hasnt been any oflate.
Who is the fool now you imbasel, why bother writing your foolishness in response to a fool such feeble head. State the obvious if you can't shut your fagot ass up boySee this another ignorant emotional incompetent fool, which presidential jet you are referring here. ?
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] Huo ushahidi aliuweka wapi? Kwanza hujanijuza kama alikua mwanamama au mzee?
Mwenda aliwapa ATCL ile Fokker ya zamani lkn Gulf stream iliyonunuliwa wakati wa Mkapa bado ipo na inatumiwa kwa matumizi ya ofisi ya Rais.
Wanayo na ndiyo hiyo.Kila mara namuona Mama Samia akitumia ndege ya Air Tanzania kuzulu, tuseme hivi Tanzania hamna presidential plane ama vipi?
Na wazungu walikuwa wanasema upuuzi wa nyerere na mandela .nyerere alitekwa mara nyingi aliviziwa sana .Mbona sion wapinzani kenya wakitemwa wala kupotea?unamlinganisha nyerere,mandera,che na upuuzi wa kuitwa mdude au huyo jamaa mwingine!!!!
kama hao watajwa wangekosa adabu kiasi hicho tusingepata uhuru miaka hiyo.
hoja zina nguvu ya kuangusha majabali.
unadhani kwanini alitekwa na kuachiwa bila kidhurika??Na wazungu walikuwa wanasema upuuzi wa nyerere na mandela .nyerere alitekwa mara nyingi aliviziwa sana .Mbona sion wapinzani kenya wakitemwa wala kupotea?
Gulfstream ni global trotter suitable for long range destinationsKidege kama G550 ni cha watu binafsi, sio Rais anayetembea na delegation ya viongozi na wafanyabiashara mashuhuri kila anapokwenda.