Bondpost
JF-Expert Member
- Oct 16, 2011
- 7,019
- 10,455
Mnayosema aliwapa ATCL nadhani ni Ile Fokker, hiyo Gulf Stream ipo na huwa anaitumia it's one of the best aeroplanes na ikila mafuta inachapa mwendo angani hadi hata marekani bila shida mnaongeza wese tu. Ila inaiwezo mzuri sana wa kukaa angani hata masaa nane na zaidi .
Nadhani kulingana na delegation aliyokuwa nayo labda wanaopanga safari ya mkuu labda waliona heri watumie ndege kubwa maana Ile ya Rais haibebi watu wengi kiasi hardly watu name unakuta.
Lakini sio ajabu maana hata Waziri wa Mambo ya nje wa China alipokuja kwetu alitumia ndege ya China hata Uhuru huwa anatumia KQ wakati mwingine pamoja ana ndege ya Rais.