Hivi Tanzania hawana ndege ya Rais?

Hivi Tanzania hawana ndege ya Rais?

Gulfstream ni global trotter suitable for long range destinations
Ndege za Rais. A220-300 ni ndege ya serekali ilikodishiwa ATCL. Rais akiwa na ujumbe wengi anatumia F28. au A220-300 ujumbe mdogo G550
download.jpg
250px-Tanzania_Gulfstream_G550.jpg
 
We kenge kuna ndege 3 za ikulu magu kawapa hao Atcl.
Swaumu kakomaa tu na hio dreamliner
 
We kenge kuna ndege 3 za ikulu magu kawapa hao Atcl.
Swaumu kakomaa tu na hio dreamliner
CEO GEZA ULOLE kashataifisha njina ndege wa anga baada ya kwasilsha kwenya email kwa speaker mh. Nduguai.Dunia inafahamu ndanganiass wanamiliki njina DREAMLINER.
 
Hapo mbona fresh. Umeme kila kona. Nyie basic need of human being inawashinda. Mnakunya vichakani kama ngedere.
Hivi hao hawaoni hatari hapo, tena ni wafanyikazi wa serikali? Dadeq! 🤣
Nyie wananchi mbona mnaonewa hivyo? 😂
 
Back
Top Bottom