Hivi Tanzania ilinufaikaje na ule mkutano wa WORLD ECONOMIC FORUM 2010?

Hivi Tanzania ilinufaikaje na ule mkutano wa WORLD ECONOMIC FORUM 2010?

SWAZI

Member
Joined
Aug 2, 2011
Posts
87
Reaction score
19
Hivi kuna idara ya serikali au Chuo kikuu ambayo inafanya tathmini ya ule mkutano uliozalisha foleni na karaha hapa Dar?
 
Kuna mbinu nyingi za kusaka umaarufu au tuseme kusaka sifa zakijinga. Ndio faida za ule mkutano
 
Kwa jinsi kauchumi chetu kalivyo HAKUNA FAIDA YOYOTE NI KUPOTEZA PESA ZA WALIPA KODI NA MUDA
ila indirectly familia za wanaoenda zinafaidika saana kwani wahusika wanalipwa perdiem, pesa za usafiri na mengineyo
 
Hivi kuna idara ya serikali
au Chuo kikuu ambayo inafanya tathmini ya ule mkutano uliozalisha foleni
na karaha hapa Dar?

Mkuu, katika "economy at large", hule mkutano haukuwa na faida, yaani multiplication effects zake katika uchumi wa taifa ni cheche tu...
ILA, kuna watu binafsi walifaidika, kivipi;
(1) kuna tenda mbalimbali katika uendeshaji wa ule mkutano, watu walipiga ela, haijulikani gharama halisi ya ile shughuli, watu wamepiga.
(2) kupitia ule mkutano, kuna miradi mingi imeanzishwa au itaanzishwa kupitia ule mradi, sasa kuna watu watakuwa wameiweka mifukoni ile miradi, watakuwa wamejipanga namna ya kula kwenye hiyo miradi....
Hii ndio Tz yetu, siku zinaenda...
 
Hakuna cha maana zaidi ya ile miti mithili ya minazi iliyopanda katika barabara ya Sam nujoma,faida nyingine(-ve) kipindi cha mkutano nilikuwa nachelewa shule daily kisa foleni
 
Back
Top Bottom