Hivi Tanzania kuna anaye lima Ashagwandha Herb? Kenya nimekuta wana mashamba makubwa na wana Export.(King of all Herbs)

CHASHA FARMING

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2011
Posts
7,967
Reaction score
9,544
India ndio mzalishaji mkuu wa Ashwagandha na ndio Exporter mkuu pia wa hii Dawa kwenda Ulaya na Marekani.Hata Bongo kuna kampuni zinazalisha dawa hii zina park na na hisi iko Dar hio kampuni.
images - 2025-04-30T203919.863.jpeg

Sasa juzi kati nikakuta Kenya kumbe wanalima na wana export mizizi ya hii herbs. Je Tanzania tunalim? au ni vitu vigeni sana na hatujatangaziwa na Serikali tulime?
images - 2025-04-30T203834.630.jpeg

Ashwagandha inaaminika ndio mfarume wa herbs zote unazo zijua hapa Duniani.Huu mmea hata Wazungu wanaujua mno mno,na pia ipo sana Tanzania hasa Kanda ya Ziwa huko, ni mingi sema sasa ni vile hakuna mwenye wazo kwamba hii ni utajiri.
images - 2025-04-30T204736.604.jpeg
 
India ndio mzalishaji mkuu wa Ashwagandha na ndio Exporter mkuu pia wa hii Dawa kwenda Ulaya na Marekani.Hata Bongo kuna kampuni zinazalisha dawa hii zina park na na hisi iko Dar hio kampuni.

Sasa juzi kati nikakuta Kenya kumbe wanalima na wana export mizizi ya hii herbs. Je Tanzania tunalim? au ni vitu vigeni sana na hatujatangaziwa na Serikali tulime?

Ashwagandha inaaminika ndio mfarume wa herbs zote unazo zijua hapa Duniani.Huu mmea hata Wazungu wanaujua mno mno,na pia ipo sana Tanzania hasa Kanda ya Ziwa huko, ni mingi sema sasa ni vile hakuna mwenye wazo kwamba hii ni utajiri.
Hayo matunda huwa Yana jiotea huku kwetu, infact ni mengi kidogo.
 
India ndio mzalishaji mkuu wa Ashwagandha na ndio Exporter mkuu pia wa hii Dawa kwenda Ulaya na Marekani.Hata Bongo kuna kampuni zinazalisha dawa hii zina park na na hisi iko Dar hio kampuni.

Sasa juzi kati nikakuta Kenya kumbe wanalima na wana export mizizi ya hii herbs. Je Tanzania tunalim? au ni vitu vigeni sana na hatujatangaziwa na Serikali tulime?

Ashwagandha inaaminika ndio mfarume wa herbs zote unazo zijua hapa Duniani.Huu mmea hata Wazungu wanaujua mno mno,na pia ipo sana Tanzania hasa Kanda ya Ziwa huko, ni mingi sema sasa ni vile hakuna mwenye wazo kwamba hii ni utajiri.
Kama navifaham hivi
 
Una smart phone unashindwa hata kujiongeza utafute info zaidi? nenda google ashagwandha, utaleteaa maelezi yake mengi mno.
Mwambie ni ya kuongeza nguvu za kiume au kuongeza utelelezi kunako na kukuza msambwanda, ndio dawa wanazotaka hao
 
Mkuu huenda wapo wanaolima, kuna kipindi nilienda Moro ndani ndani huko, makampuni yana mashamba makubwa makubwq mno ya kilimo cha biashara na mazao mengine hata sikuyajua.

Ila sio watanzania, ni kampuni za kigeni
 
Kuna aina ya vilimo vinahitaji akili, sasa sisi tumezoe kulima mazao yasio hitaji akili,
 
unaweza kulima, usijue unauzia wapi!

Export ni kitu kikubwa sana, sio kila mkulima anaweza ku-export! Ana-export nchi gani na kwa nani?
Msiwe mnaokoteza vitu mnakuja kuwalaumu Watanzania!

Kwanini wewe usilime, uka-export sisi tuje kujifunza kwako?
 
Back
Top Bottom