bintishomvi
JF-Expert Member
- Mar 21, 2015
- 1,164
- 833
Mie ndio biashara yangu mpaka kilometa zinasoma za kutosha niko apohivi kuna recycle ya hizi chupa za kioo na soko lake lipo wapi??
Waste recycle investment
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mie ndio biashara yangu mpaka kilometa zinasoma za kutosha niko apohivi kuna recycle ya hizi chupa za kioo na soko lake lipo wapi??
Njoo nikuuzie chupa za recycle bottlesKiwanda kinaitwaje pia inawezekana unipatie namba zao, naangaika kupaki wine na flavored beer, kiwanda bado kidogo lakini changamoto chupa tu, natamani kuagiza toka china tatizo mtaji bado mdogo hata 25m bado sijafika.
Ukitaja Kenya nasikia kichefuchefu, hivi waandisi wetu wanasoma nini huko vyuoni!Guyz natafuta kiwanda cha kutengeneza chupa, kipo kweli bongo or ndio hadi twende Kenya?
Wewe kwa hicho ulichosoma umefanya nini?Ukitaja Kenya nasikia kichefuchefu, hivi waandisi wetu wanasoma nini huko vyuoni!
nimefanya makubwa kwenye fani yangu, wahandisi wa tanzania wanakariri tu, haiwezekani hata barabara za vumbi anatengeneza mchinaWewe kwa hicho ulichosoma umefanya nini?
viwanda viote via pombe soda vinatengeza chupaGuyz natafuta kiwanda cha kutengeneza chupa, kipo kweli bongo or ndio hadi twende Kenya?
hata nyanza pia wanatengeneza chupaNi KIOO LTD tu Tanzania nzima na ukiwa mjasiria Mali mdogo uwezi masharti yao
Nilishindwa kabisa wanaanzia chupa laki moja kwa oda [emoji26]Ni KIOO LTD tu Tanzania nzima na ukiwa mjasiria Mali mdogo uwezi masharti yao
Dar es salaam nje ya mji kidogo panaitwa mkokozi ni katikati ya toangoma na mikwambe-kigamboniunapatikana wapi mkuu?
nakucheki PMDar es salaam nje ya mji kidogo panaitwa mkokozi ni katikati ya toangoma na mikwambe-kigamboni
Mkuu nahitaji contact yako maana kioo wanatunyanyasa Sana aiseeMie ndio biashara yangu mpaka kilometa zinasoma za kutosha niko apo
Waste recycle investment
Soma post #22 kaweka kabisa namba yake..Mkuu nahitaji contact yako maana kioo wanatunyanyasa Sana aisee
😂😂😂😂Nilishindwa kabisa wanaanzia chupa laki moja kwa oda [emoji26]
Wakati uwezo wangu ni chupa 300 za mvinyo
Post no 22 hapoAnayejua kiwanda cha ku recycle chupa za kioo tofauti na kioo limited anifahamishe0759656557
Boss naomba contact yako pleaseMie ndio biashara yangu mpaka kilometa zinasoma za kutosha niko apo
Waste recycle investment
Boss naomba nicheki please 0759656557Nauza chupa za serengeti, henkeni, windhoek, flying fish, Kilimanjaro nyeupe pia na chupa kubwa za wine 750ml na 330ml na aina yoyote ya Dizaini ya chupa unayoitaji karibu