Hivi Tanzania kuna kiwanda cha kutengeneza chupa?

Kiwanda kinaitwaje pia inawezekana unipatie namba zao, naangaika kupaki wine na flavored beer, kiwanda bado kidogo lakini changamoto chupa tu, natamani kuagiza toka china tatizo mtaji bado mdogo hata 25m bado sijafika.
Njoo nikuuzie chupa za recycle bottles
Tuwasiliane 0718202286
Kwa aneeitaji package ya wine tuonane
Angalizo
Chupa ni recycle
 
Nauza chupa za serengeti, henkeni, windhoek, flying fish, Kilimanjaro nyeupe pia na chupa kubwa za wine 750ml na 330ml na aina yoyote ya Dizaini ya chupa unayoitaji karibu
 
Ni KIOO LTD tu Tanzania nzima na ukiwa mjasiria Mali mdogo uwezi masharti yao
Nilishindwa kabisa wanaanzia chupa laki moja kwa oda [emoji26]
Wakati uwezo wangu ni chupa 300 za mvinyo
 
Anayejua kiwanda cha ku recycle chupa za kioo tofauti na kioo limited anifahamishe0759656557
 
mkuu usichoke
Nilishindwa kabisa wanaanzia chupa laki moja kwa oda [emoji26]
Wakati uwezo wangu ni chupa 300 za mvinyo
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Nauza chupa za serengeti, henkeni, windhoek, flying fish, Kilimanjaro nyeupe pia na chupa kubwa za wine 750ml na 330ml na aina yoyote ya Dizaini ya chupa unayoitaji karibu
Boss naomba nicheki please 0759656557
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…