Hivi Tanzania kuna MacDonalds?


umeongea nilichotaka niwaambie....
 

mkuu! umeangalia kiwango cha umri wa kuishi! mtanzania na Mmarekani..( huko unaposema kwenye junk foods) !!
 
Kuna bakhersa tu huku na hata mimi sijui uataratibu ukoje kama unataka kuwa wakala wao kwa maana ya kuuza products zao
jamani utaratibu ukoje hapa nyumbani kama unataka kufungua ofisi na kuuza bidhaa zao?
Nisaidieni nijue utaratibu wao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…