Hivi Tanzania kuna MacDonalds?

Hivi Tanzania kuna MacDonalds?

Ukitaka unaweza kuongea nao uanzishe. Target yako itakuwa middle class people. Pia unaweza kutumia akili yako na kuanzisha franchise yako binafsi. Huhitaji jina la Macs. Tena kwa nchi kama tz ambapo wao hawajapata market share...inakuwa fresh kabisa.
 
haipo ila its opportunity for u incase una mtaji ili u-contact nao so tht they giv u authority to start it here.
 
Kama roots man mie junk food sizifagilii kabsaa, madhara yake ni mengi sana. Huko uliko baba watu wanaugua magonjwa ya ajabu ajabu tu watoto wadogo kansa kitu ambacho huku kwetu hakukuwa na kitu km hicho labda sasa hivi baada ya watu kuanza kuthaminisha junk food ndo kuna watu wameanza kuapata athari zake. watoto wa kiume wanakuwa km mabinti wanaota matiti na dizaini nyingi km hizo.
 
kwa hiyo nyie mnaoipinga in maana ikija itaathiri afya za watanzania wote au itasababisha msiwe na maisha bora mnayoyangojea kama nchi ya ahadi?????
 
Hivi kuwa na macdonald ni sifa? Kati ya mambo yote tunayoweza kutamani kutoka ughaibuni macdonald ina umuhimu gani? What is so special about junk food anyway? It is the cause of heart diseases, obesity and a degree of malnutrition. We can do without it.
 
Hivi Mcdonalds kuna ugali nyama choma jamani. Achilia mbali kiti moto. Kama hamna, basi haina haja hapa bongo.
 
Fikra mgando na mawazo ya hovyo hovyo, sasa mnatamani hata vitu vya kijinga kabisa.....
 
Swali zuri lingekuwa wananchi vijijini wanapata milo mingapi kwa siku na milo hiyo inacomprise nini?

Why discuss macdonald, kfc, steers, mary brown wakati idadi kubwa ya watu wanaishi kwa asali na ubuyu ( wenye bahati ) miaka zaidi ya 40 baada ya uhuru na kuahidiwa maisha bora kwa kila mtanzania.

...hivi tuna matatizo ya ukomo wa kufikiri?

Cha msingi watanzania tunakula vyakula salama ukilinganisha na hizo processed food wanazokula wenzetu, ukikuta chakula cha standard yetu kina lebo 'Organic' na bei juu.

Kama unataka macdonald ukiwa bongo umeipata - kanunue mkate na mayonnaise kibandani mtaani kwenu, tafuta kipande cha nyama upendayo choma chemsha juu yako, kata pande la nyanya na kitunguu, usisahau pande la kabichi weka hivyo vyote katikati ya mapande mawili ya mkate tafuta mkeka na kokakola jichane.

...mawazo yale yale ya Ubepari ni adui wa haki!

MacDonald=Unhealthy food. Hatuitaki Tanzania.

...kwani unalazimishwa ule?

Kwanza hatutaki zije, haina maana kufagilia ajira zinazohatarisha maisha ya watu. Junk food should be discouraged with all efforts. Let our people eat their natural/organic food. Can't you see problems of obesity escalating in those western countries? The main reason,among others,is junk food! Usifagilie kila kitu cha huko majuu my buddy.

...yale yale,...! target ni kina nani kaka?

Ukitaka unaweza kuongea nao uanzishe. Target yako itakuwa middle class people. Pia unaweza kutumia akili yako na kuanzisha franchise yako binafsi. Huhitaji jina la Macs. Tena kwa nchi kama tz ambapo wao hawajapata market share...inakuwa fresh kabisa.

...angalau wewe umeangalia nje ya boksi!

kwa hiyo nyie mnaoipinga in maana ikija itaathiri afya za watanzania wote au itasababisha msiwe na maisha bora mnayoyangojea kama nchi ya ahadi?????

..hebu waulize...

Hivi Mcdonalds kuna ugali nyama choma jamani. Achilia mbali kiti moto. Kama hamna, basi haina haja hapa bongo.

...hii ndio athari ya kila kizuri tunasema cha kizungu.

Bandugu mna bore!...

Hivi mnadhani kilio cha serikali watalii/expatriates waje kwa wingi Tanzania maana yake watakula kwa mama Ntilie? au mnataka wale huo ugali na nyama choma mnazozifagilia hapa?

Hamjaweza fikiri MacDonalds watawezesha ajira ngapi hapa nchini? kuanzia wafugaji, wafanyakazi, suppliers, nk? Leo hii hamuoni faida ya Mahoteli ya kitalii, Supermarkets chache tulizonazo, au Mlimani City kwa mfano mdogo?

Hatuwezi kuishi kwa kutarajia mama ntilie atakidhi mahitaji ya watu wote wanaoishi Mijini.

Kwa taarifa yenu, watalii wengi kwenye vigezo vya health & safety hupendelea kula kwenye known/tried and tested franchise kama hizo tajwa hapo awali, ikiwemo KFC, Burger King, Nandos etc, sio kwa mama Ntilie!

Msidhani kuwa kuiga mifumo ya kimagharibi ni dhambi ati tu kwakuwa Mwl Nyerere alisema wao ni makabaila na wanyonyaji! Tumejiingiza kwenye mfumo wa soko huria, lazima twende na matakwa yake.
 
...hivi tuna matatizo ya ukomo wa kufikiri?

...mawazo yale yale ya Ubepari ni adui wa haki!

...kwani unalazimishwa ule?

...yale yale,...! target ni kina nani kaka?

...angalau wewe umeangalia nje ya boksi!

..hebu waulize...

...hii ndio athari ya kila kizuri tunasema cha kizungu.

Bandugu mna bore!...

Hivi mnadhani kilio cha serikali watalii/expatriates waje kwa wingi Tanzania maana yake watakula kwa mama Ntilie? au mnataka wale huo ugali na nyama choma mnazozifagilia hapa?

Hamjaweza fikiri MacDonalds watawezesha ajira ngapi hapa nchini? kuanzia wafugaji, wafanyakazi, suppliers, nk? Leo hii hamuoni faida ya Mahoteli ya kitalii, Supermarkets chache tulizonazo, au Mlimani City kwa mfano mdogo?

Hatuwezi kuishi kwa kutarajia mama ntilie atakidhi mahitaji ya watu wote wanaoishi Mijini.

Kwa taarifa yenu, watalii wengi kwenye vigezo vya health & safety hupendelea kula kwenye known/tried and tested franchise kama hizo tajwa hapo awali, ikiwemo KFC, Burger King, Nandos etc, sio kwa mama Ntilie!

Msidhani kuwa kuiga mifumo ya kimagharibi ni dhambi ati tu kwakuwa Mwl Nyerere alisema wao ni makabaila na wanyonyaji! Tumejiingiza kwenye mfumo wa soko huria, lazima twende na matakwa yake.

HATUTAKI!!!!!!!
sio lazima kwenda na matakwa ya kimagharibi. Wao wenyewe sasa hivi hawapendi junk food. Uliza ni watalii wangapi wangependa kwenda kula junk food uone watakavyokushangaa. Wewe vipi? FYI wanaokula kwenye hizo fast food points ni wale ambao either wana haraka sana au hawana uelewa na madhara ya junk food. Watu wengi waelewa hua wanaona aibu kwanza hata kule kuonekana sehem kama hizo eti wanaenda kula. Watu waelewa huthamini afya zao. Ndio maana hatutaki hizo McDonald kwa nguvu zote. Period!
 
Fikra mgando na mawazo ya hovyo hovyo, sasa mnatamani hata vitu vya kijinga kabisa.....

...maendeleo bila dira au kujiwekea kiwango ndio mawazo mgando.

Lazima mfahamu "kula lazima!". Iwe ni mwananchi hohehahe huko kijijini, au Mtalii mzungu alotumia mamia ya dollar kuja kutalii Tanzania. MacDonald ni 'niche' market, kama mnavyoifagilia kiti-moto kwa walevi au mama Ntilie na walaji wao...
 
HATUTAKI!!!!!!!
sio lazima kwenda na matakwa ya kimagharibi. Wao wenyewe sasa hivi hawapendi junk food. Uliza ni watalii wangapi wangependa kwenda kula junk food uone watakavyokushangaa. Wewe vipi? FYI wanaokula kwenye hizo fast food points ni wale ambao either wana haraka sana au hawana uelewa na madhara ya junk food. Watu wengi waelewa hua wanaona aibu kwanza hata kule kuonekana sehem kama hizo eti wanaenda kula. Watu waelewa huthamini afya zao. Ndio maana hatutaki hizo McDonald kwa nguvu zote. Period!

...sio lazima kwako, sio kwa kila mtu. Nchi huru hii bana, wewe vipi?

halafu umeishikia bango hiyo junk food, unajua maana yake lakini?
 
Ndio, Junk Food ni jina(lisilo rasmi) kwa vyakula ambavyo havina virutubisho vya muhimu kwa afya ya binadam,au kama vipo basi vinachanganywa na vitu ambavyo vina madhara katika afya ya mlaji. Haya na wewe unajua maana gani zaidi?
 
...hivi tuna matatizo ya ukomo wa kufikiri?

...mawazo yale yale ya Ubepari ni adui wa haki!

...kwani unalazimishwa ule?

...yale yale,...! target ni kina nani kaka?

...angalau wewe umeangalia nje ya boksi!

..hebu waulize...

...hii ndio athari ya kila kizuri tunasema cha kizungu.

Bandugu mna bore!...

Hivi mnadhani kilio cha serikali watalii/expatriates waje kwa wingi Tanzania maana yake watakula kwa mama Ntilie? au mnataka wale huo ugali na nyama choma mnazozifagilia hapa?

Hamjaweza fikiri MacDonalds watawezesha ajira ngapi hapa nchini? kuanzia wafugaji, wafanyakazi, suppliers, nk? Leo hii hamuoni faida ya Mahoteli ya kitalii, Supermarkets chache tulizonazo, au Mlimani City kwa mfano mdogo?

Hatuwezi kuishi kwa kutarajia mama ntilie atakidhi mahitaji ya watu wote wanaoishi Mijini.

Kwa taarifa yenu, watalii wengi kwenye vigezo vya health & safety hupendelea kula kwenye known/tried and tested franchise kama hizo tajwa hapo awali, ikiwemo KFC, Burger King, Nandos etc, sio kwa mama Ntilie!

Msidhani kuwa kuiga mifumo ya kimagharibi ni dhambi ati tu kwakuwa Mwl Nyerere alisema wao ni makabaila na wanyonyaji! Tumejiingiza kwenye mfumo wa soko huria, lazima twende na matakwa yake.
Mwanangu kula tano!!!!!
 
Hakuna chakula mbaya unhealthy kama McD,bora watu waanzishe franchise za vyakula vyetu wenyewe kama ugali,wali na mboga mboga,haya mambo ya mikate na burgers ni vyakula vyao...nafikiri mtalii atafurahi sana akija bongo na kula ugali,maharage na milenda yetu kuliko hizi burger za Mcd!
 
mtalii gani atafurahia kula mlenda kila siku????
 
MBU:"Kwa taarifa yenu, watalii wengi kwenye vigezo vya health & safety hupendelea kula kwenye known/tried and tested franchise kama hizo tajwa hapo awali, ikiwemo KFC, Burger King, Nandos etc, sio kwa mama Ntilie!"

Mkuu, watalii wengi wanakuja kwetu ili waonje vitu tofauti. Ndio mana utawaona wengi wanakwenda sehemu kama Chef's Pride pale mjini n.k. Wewe unafikiri wanalipia ticketi za ndege ili waje kula McDonald's/KFC huku? By the way, wengi wanaofurahia hizo fast food joints huku "ulaya" ni wahamiaji, si wazawa!!!
 
kwa hiyo wewe kwa nini hutaki macdonald tanzania? kwani ni lazima uende kula??
 
Back
Top Bottom