Hivi Tanzania kuna nini haya mauaji ya watoto hayaishi

Hivi Tanzania kuna nini haya mauaji ya watoto hayaishi

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Yaani pamoja na makelele yote yanayopigwa, jamaa hawakomi, vifo vinaendelea kuripotiwa, aisei utani pembeni hii sio kawaida. Bora hata mashababi yanayokuja kujilipua huku kwetu, wao hutoa sababu za kidini kwamba wanakwenda kwa mabikira 72, hivi unayemchinja mtoto na kunyofoa viungo vyake utafaidika kivipi labda.
Imani za ovyo sana hizi, wengine wanaamini husaidia kwenye uchaguzi ndio maana hutendeka sana wakati uchaguzi unakaribia. Kipindi hiki hawafuati albino.
Watu kama hawa akikamatwa mmoja afanyiwe maajabu ya kuwakomesha wote
-----------------------------

Njombe. Another child, Racheal Malekela, 7, was found dead on Friday night at Matembwe Village in Njombe District as the spate of reported ‘ritual’ child killings and disappearances continues to rock the area.
The body of the child was found dumped in a forest owned by her parents, just a few metres from her family home.
Matembwe Village chairman Brayson Malekela (who is also the paternal uncle of the deceased child), told The Citizen yesterday that he received reports of the missing child on Friday evening, at around 6pm.
Girl, 7, found dead as child killers spill more blood
 
Kwa kuwa tunatofautiana jinsi ya kufikiri, kuchanganua na kuamini; haya mambo yataendelea kuwepo tu. Tuendelee kuyakemea na kuelimishana, huenda yatapungua.
 
Yaani pamoja na makelele yote yanayopigwa, jamaa hawakomi, vifo vinaendelea kuripotiwa, aisei utani pembeni hii sio kawaida. Bora hata mashababi yanayokuja kujilipua huku kwetu, wao hutoa sababu za kidini kwamba wanakwenda kwa mabikira 72, hivi unayemchinja mtoto na kunyofoa viungo vyake utafaidika kivipi labda.
Imani za ovyo sana hizi, wengine wanaamini husaidia kwenye uchaguzi ndio maana hutendeka sana wakati uchaguzi unakaribia. Kipindi hiki hawafuati albino.
Watu kama hawa akikamatwa mmoja afanyiwe maajabu ya kuwakomesha wote
-----------------------------
Girl, 7, found dead as child killers spill more blood
Hapo kwenye RED ni kama ume-notice kitu, mauaji ya namna hii (ikiwemo ya Albinos) hutokea unapokaribia uchaguzi. Kumbuka mwaka huu tuna uchaguzi wa Serikali za Mitaa (Local Government). Kiukweli watu wana imani za ajabu sana...
 
Enyewe si poa ku~kill watoi innocent.sa mapyro wa hawa watoi wana~feel aje?
FaizaFoxy, endelea kujitia hamnazo.Umeshindwa kutoa pendekezo lako kuhusiana na hili jambo? Umeishi kuwashauri wakenya waondoe kdf Somalia ili kudhibiti ugaidi. Natumai umewashauri wanawake wa njombe waache kuzaa ili kuzuia mauaji ya watoto!
 
Hao ndiyo ukisikia magaidi lakini cha ajabu, dunia nzima ipo kimya. Tena watoto wadogo.
 
Back
Top Bottom