LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 18,037
- 33,681
Nimetembea Tanzania nzima bara n.a. visiwani ila sijaona watu poa kama wajomba zangu wazaramo.
Wana upendo wa hali ya juu. Wanawaheshimu watu wote bila kujali dini zao, makabila yao, wanatoka wapi etc.
They mind their own business.
They never snitch wala hawamshangai shangai mtu hata kama ana life style tofauti na ya kwao.
Wana upendo. They are generous. Wakarimu kwa wageni. They are generally happy etc.
Wazaramo wako poa sana.
Hakuna watu poa kama wazaramo.
Ukiishi na wazaramo kwa muda mrefu unaweza ukashindwa kuishi na watu wa makabila mengine kwa sababu wazaramo wana weza kumtolerate n.a. kumchukulia mtu wa aina yoyote ile jambo ambalo watu wengine hawawezi.
Wazaramo oyeee
Wahehe/wabena oyee!
Nimewataja wabena na wahehe kwa sababu nimewahi kusimuliwa na wazee wa kizaramo kwamba asili ya wazaramo ni iringa kwenye moo za wabena na wahehe. Wakati wanakuja walipita milima ya uluguru wakaitwa waluguru then wengine wakaja mzizima ndo hao wanaitwa wazaramo..