Naomba kujuzwa ni kocha gani anafundisha nje ya Tanzania?
Labda viwango vyao mkuuYaani mkuu nimejaribu kupekua mafaili yangu yote siioni makocha wetu wakifundisha soka nje ya nchi na sijui tatizo liko wapi!!!
Denis kitambi yupo KenyaNaomba kujuzwa ni kocha gani anafundisha nje ya Tanzania?
Anafundisha ila ni kocha msaidizi kocha mkuu wa hiyo timu ni Stewart Hall, kwenye michuano ya sport pesa timu yao ilishiriki na denis alisimamia timu kwakuwa hall alikuwa likizoAnafundisha soka au anaishi huko!