Hivi Tanzania tuna makocha wa mpira wa miguu wanaofundisha soka nje ya Tanzania?

Hivi Tanzania tuna makocha wa mpira wa miguu wanaofundisha soka nje ya Tanzania?

Sokoli

Senior Member
Joined
Apr 14, 2017
Posts
192
Reaction score
128
Naomba kujuzwa ni kocha gani anafundisha nje ya Tanzania?
 
Hivi akina Mzirai mpaka wanakufa hawakufundisha hata burundi?
 
Ngumu kumeza, sijawahi kusikia kabisa
Yaani mkuu nimejaribu kupekua mafaili yangu yote siioni makocha wetu wakifundisha soka nje ya nchi na sijui tatizo liko wapi!!!
 
Hivi akina Mzirai mpaka wanakufa hawakufundisha hata burundi?
Sikumbuki hata kidogo labda wanaojua aliwahi kufundisha nchi gani watujuze huuenda tulikuwa bado hatujazaliwa
 
Kuna Mohammed bilali amewahi kufundisha Simba, anafundisha Oman
 
Ndio yupo Kajumuro anafundisha soka USA na pia ana academy yake huko!
 
Anafundisha soka au anaishi huko!
Anafundisha ila ni kocha msaidizi kocha mkuu wa hiyo timu ni Stewart Hall, kwenye michuano ya sport pesa timu yao ilishiriki na denis alisimamia timu kwakuwa hall alikuwa likizo
 
Back
Top Bottom