Hivi Tanzania tuna muziki ama copy za muziki wa wengine?

Umeongea point sana na ukweli mtupu. Tanzania hatuna wasanii wa ukweli si Diamond wala Kiba wote ni fake tu.
 
Umeongea point sana na ukweli mtupu. Tanzania hatuna wasanii wa ukweli si Diamond wala Kiba wote ni fake tu.
Kiba hakoseagi, ila ile album angetoa Sadala, ungewasikia watangazaji na machawa ".....wasanii siku hizi hawafanyi bongo fleva.......wanaiga biti za kinaija......sijui nininini.......".

Album 80% ya nyimbo biti za kinaija.Kibongo bongo wanaojitahidi kukomaa kufanya mziki wenye Id ya Kitanzania Marioo na Mbosso.
 
Tuekopi hadi WIMBO WA TAIFA itakuwa mziki??
 


Ngoja yuwekane sawa kwenye hili. Kwa mtazamo wangu, Modern taarabu ndio iliyoanza kuchota vionjo vya Mchiriku kabla Singeli haijaanza. Rejea kwenye Taarabu za enzi hizo kama zinaendana na Msaga Sumu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…