Shida ndio hiyo,Kwa wananchi walio wengi itakuwa ngumu kupuuzia miradi anayofanya Magufuli.Sasa wataweka kitu gani tuwaelewe wakati sisi tunaona yaliyofanywa kwa macho yetu?
Acha umbea kidume utavikwa dela, Lissu kilimpata nini? Tuletee ushahidi wa kilichompata otherwise huna tofaut na James delicious.Unakumbuka mafuriko ya Lowassa!??, Lissu hajafikia hata robo. Na Lissu asipopitishwa na kamati kuu utafanyaje?!?.. Na wewe unaamini Lissu anaweza kuzunguka nchi nzima kwenye kampeni bila kumrudisha kwenye maisha ya wheelchair!??, Unajua kilichomkuta baada ya kusimama masaa manne wiki iliyopita alipofika!??, Mtaweza kumnadi mgombea wenu akiwa kwenye wheelchair!??... Tatizo la wafuasi wa CDM akili zenu ni fupi sana. Ndo maana Mbowe huwa anawaburuza. Na mgombea wenu ni Nyalandu.
We mwenyewe unajua wazi TZ imekua sana kiuchumi, na mabadiliko ni makubwa sema nyie machadema akili zenu ni za kushikiwa na DJTanzania mnayosema imefikia uchumi wa kati kabla ya 2025 ni Tanzania ipi ?
Au nyie manyani hamuoni m@cunduye ?
Kona gani zina mauaji we Bavichwa? kwani we umekufa??Yaani kwa taarifa tu ni kuwa siku mkutano wa chadema ukaitishwa mji wa daressalaam utasimama. Nakuhakikishia Lissu akipanda jukwaani akaonyesha maovu na madhaifu ya mwenyekiti wenu ni dakika sifuri tu JPM akipita miji ya wakereketwa kama Mbeya anweza pigwa mawe.
1.Kodi zote zimepelekwa chato
2. Ajira zipo kwa wana ccm tu
3. Watu wana tekwa na kupotea
4. Mauwaji kila kona ya nchi
5. Vyama vingine kufunguliwa mashitaka
Yaani mwenyekiti wenu atabaki na wapiga tarumbeta tu
Alisikika mlevi mmoja hiviTANZANIA sio Mali ya CCM ata Roman Empire ilikuwa na Mambo ya kipuuzi ivi ivi kama CCM lakini ili collapse
Mikowa=Mikoa1. dodoso la utafiti wako lipo wapi
2. Umeenda mikowa ipi itaje? Ilitukuhoji vizuri,
3. Umehoji wangapi kwa ushahidi gani?
4. Nani anadhamini utafiti wako
Sasa kilichobadilika ni nini?, Tofauti ya tume zamu hii na 2015 ni ipi?, Hujui zamu hii JPM ndo ameshikilia remote zote, bado unategemea ushindi?, umekuja na mipasho yote Ila mimi nakupa jina moja tu wewe ni MPUMBAVU., sijakutusi Ila nimeelezea sifa moja inayoelezea ulivyo. Narudia kama unaamini Lissu atakuwa Raisi wa nchi hii kwa tume hii wewe ni MPUMBAVU.Acha umbea kidume utavikwa dela, Lissu kilimpata nini? Tuletee ushahidi wa kilichompata otherwise huna tofaut na James delicious.
Kwan ishu ya Lowassa unataka kutuambia nn? Kwamba jiwe alimshinda Lowassa uchaguzi wa 2015? Ni kuwa hujui kilichofanyika au ndo mataga kila ufirauni wa sirikali ya sisiem mnaufumbia macho?
Jiwe aligalagazwa vibaya sana na anajua urais alionao leo sio wake!