Hivi TARURA mmejiangalia na kujitathmini jinsi mnavyokamua wananchi pesa?

Nashangaa nchi hii mtu unaingia supermarket, benki unapaki parking zao unalipishwa hela
Tarura wao wangeanisha sehemu zao za parking zitambulike, na waweke signs
Hii ya kuingia hadi mtaani sehemu ovyo
Wanalipisha watu syo fair, waweke na Mazingira mazuri basi kwa wenye magari
Hata mtu akilipa hanunguniki

Ova
 
Jamaa yupo Arusha ila anadaiwa parking Dar na siku anayo daiwa parking ndo siku hiyo hiyo aliyopigwa fain ya speed Arusha Kama masaa ma3 tu yamepishana sijui alipaa
 
Anapiga picha anaondoka anatuma amakweli serikali imekwama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…