State propaganda mashine, tv ilikuwa tvt since tido awe fired imekuwa praise and worshipHiv TBC ni chombo cha Taifa au chombo cha siasa za mrengo 1 wa CCM au ni dodoki la kuosha na kusambaza propaganda za serikali, nao wachukue bas usajili kwenye Baraza la vyama vya siasa maan hawaripot habar za wananchi zaid ni mapambio kuanzia asubuh mpaka asubuhi.
Mnajidanganya sana kwanza sikuhiz hamna mtu anafatilia TV zaidi mitandao ya kijamii.
Hii si ya juzi hapo?Msikilize Eshe Muhidini mkurugenzi wa vipindi wa chombo hicho cha umma utajua changamoto wanazokutana nazo hasa matukio ya oktoba 29. Yuko hewani katika kipindi cha marudio cha siku ya televisheni duniani
tido huyu huyu kateuliwa na chura kiziwiState propaganda mashine, tv ilikuwa tvt since tido awe fired imekuwa praise and worship
Yes huyo huyo back then alikuwa amenyooka, magu akampiga chinitido huyu huyu kateuliwa na chura kiziwi
Sasa hivi Tido ndio mshauri wa Rais kwenye hiyo sekta, tuone nini kitachange.State propaganda mashine, tv ilikuwa tvt since tido awe fired imekuwa praise and worship
Wale waleAngalia Wasafi TV