mjanja wa kijiji
JF-Expert Member
- Oct 2, 2018
- 1,582
- 4,378
we unaongea kama nani?hama..una uhuru wa kuishi nchi uipendayo.
mwananchiwe unaongea kama nani?
cc: WakudadavuwaSasa tuna nini cha kujivunia na LI TBC!??
This is very bad.
huna mamlaka ya kumfukuza mtu kwenye nchi hii, tuliza nanii hiyo.mwananchi
leo mkuuMichuano inaanza lini?
P1leo mkuu
Hawa hata wakionesha sio wa kuwaamini sana. Unaweza kuta wanakatisha mechi kuonesha ziara ya kushtukiza ya mkulu mahali fulani!!.. Nchi hii bhana..
Yani tunaishi ka madigidigi...
Our life is not assured at all..
TV linakula kodi zetuuuu.....
Busy kurusha mambo live yasiyo na tija.
Fff....
Nauliza.
Siyo kosa lao Mkuu,ni technologia na mitambo outdated, waonee huruma tuMafundi mitambo wa TBC ni wa hovyo kuliko RC na wanakula mishahara ya bure. Sauti muda mwingine hovyo,picha ndo usiseme,ni bora angeajiriwa hata Mbuzi huenda angeendesha vizuri mitambo kuliko watu waliopo pale
Sijui hata wana matatizo gani. Yaani TBC ni aibu hata kuiita ya taifa!Mafundi mitambo wa TBC ni wa hovyo kuliko RC na wanakula mishahara ya bure. Sauti muda mwingine hovyo,picha ndo usiseme,ni bora angeajiriwa hata Mbuzi huenda angeendesha vizuri mitambo kuliko watu waliopo pale
Mbona walijinasibu kwamba wao ndio wenye mitambo mikubwa na ya kisasa?Siyo kosa lao Mkuu,ni technologia na mitambo outdated, waonee huruma tu
Kabisa aiseeSijui hata wana matatizo gani. Yaani TBC ni aibu hata kuiita ya taifa!
Mmh story tu hizoMbona walijinasibu kwamba wao ndio wenye mitambo mikubwa na ya kisasa?