Hivi TBC itaonesha AFCON..!?

Hivi TBC itaonesha AFCON..!?

.. Nchi hii bhana..
Yani tunaishi ka madigidigi...

Our life is not assured at all..
TV linakula kodi zetuuuu.....

Busy kurusha mambo live yasiyo na tija.

Fff....

Nauliza.
Hawa hata wakionesha sio wa kuwaamini sana. Unaweza kuta wanakatisha mechi kuonesha ziara ya kushtukiza ya mkulu mahali fulani!!
 
Kwa anayetumia Azam kuna dalili hapa UBC channel Number 140(Uganda broadcasting corporation)wakaonyesha hizo game maana tayari on screen washaanza kuonyesha siku zinazosalia -count down&nembo Ya Caf
 
Mafundi mitambo wa TBC ni wa hovyo kuliko RC na wanakula mishahara ya bure. Sauti muda mwingine hovyo,picha ndo usiseme,ni bora angeajiriwa hata Mbuzi huenda angeendesha vizuri mitambo kuliko watu waliopo pale
 
Siyo kosa lao Mkuu,ni technologia na mitambo outdated, waonee huruma tu
 
Mafundi mitambo wa TBC ni wa hovyo kuliko RC na wanakula mishahara ya bure. Sauti muda mwingine hovyo,picha ndo usiseme,ni bora angeajiriwa hata Mbuzi huenda angeendesha vizuri mitambo kuliko watu waliopo pale
Sijui hata wana matatizo gani. Yaani TBC ni aibu hata kuiita ya taifa!
 
Ngoja nitafute kisimbusi Cha DSTV halafu hili dishi la Azam nifanye kulitwist lifuate muelekeo wa DSTV ...nalipia 19000 mambo mukide...
 
Back
Top Bottom