Hivi TBC itaonesha AFCON..!?

Hivi TBC itaonesha AFCON..!?

blogger

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2012
Posts
12,112
Reaction score
15,060
.. Nchi hii bhana..
Yani tunaishi ka madigidigi...

Our life is not assured at all..
TV linakula kodi zetuuuu.....

Busy kurusha mambo live yasiyo na tija.

Fff....

Nauliza.
 
.. Nchi hii bhana..
Yani tunaishi ka madigidigi...

Our life is not assured at all..
TV linakula kodi zetuuuu.....

Busy kurusha mambo live yasiyo na tija.

Fff....

Nauliza.
Mmmmh hata cjui kama litaonesha ila kwa wazanzibar najua ZBC wana akili wataonesha tu. Mnaonaje tugome hela yetu ya kodi isiende kule maana hakuna tija yoyote.
 
DSTV .....
WATANGAZAJI... SALAMA JABIR, OSCAR OSCAR , EDO KUMWEMBE, ABOUBAKAR LYONGO, MAULI KITENGE
 
Hata wakionyesha ni heri usione, mana utaona mawingu tu, DSTV kama kawa S8-S9-10, tutaona live
 
Mmmmh hata cjui kama litaonesha ila kwa wazanzibar najua ZBC wana akili wataonesha tu. Mnaonaje tugome hela yetu ya kodi isiende kule maana hakuna tija yoyote.
Hii ZBC2 si wangeiita Azam3 tuu? As undugu wao nauona ni kama Channel 10 na Radio Uhuru au TBC1 na Maelezo
 
Ile ZBC2 hata wanaotangaza mpira ni wa Azam TV.
 
Mmmmh hata cjui kama litaonesha ila kwa wazanzibar najua ZBC wana akili wataonesha tu. Mnaonaje tugome hela yetu ya kodi isiende kule maana hakuna tija yoyote.
Sasa tuna nini cha kujivunia na LI TBC!??

This is very bad.
 
Nadhani kishindo cha awamu ya5 ni kipindi kizuri sana bila kusahau safari ya dodoma hujakaa vzr unakumbana na zis week in paspektivu boonge moja ya show[emoji23]

😂😂😂😂

Umesahau Chereko...
 
Nadhani kishindo cha awamu ya5 ni kipindi kizuri sana bila kusahau safari ya dodoma hujakaa vzr unakumbana na zis week in paspektivu boonge moja ya show[emoji23]
Usisahau Cherekko
 
Back
Top Bottom