Na hapa ndio watanzania Tuna-Fail; Haujui kwamba Kodi yako inatumika kuendesha TBC; Hence hata kama hauangalii ni kwamba Pesa yako inatumika ndivyo sivyo...Tumekusikia mtazamaji wetu
Endelea kutazama Tbc1..ukweli na uhakika
Badilisha King'amuzi mkuu ukisema usubiri FTA utachokaNa hapa ndio watanzania Tuna-Fail; Haujui kwamba Kodi yako inatumika kuendesha TBC; Hence hata kama hauangalii ni kwamba Pesa yako inatumika ndivyo sivyo...
Na hii ndio inapelekea walamba Asali kuchonga Mzinga...,
Mkuu FTA sio issue ya Kingamuzi FTA ni FREE TO AIR kwahio hata kama hauna kingamuzi na TV yako ina kisimbuzi automatically ni kwamba unaipata Freely...Badilisha King'amuzi mkuu ukisema usubiri FTA utachoka
AsaanteeeTumekusikia mtazamaji wetu
Endelea kutazama Tbc1..ukweli na uhakika
kuna watu mnastahili kupewa nishani. Unapoteza muda wako kutazama TBC?Naomba kujuzwa hii TBC inayoendeshwa kwa Ruzuku zetu ni lini imebadilika kutokuwa Free to Air ?
Kama ni issue za Word Cup huu ndio utapeli kwamba watu wanunue vifurushi ili waone mama anaupiga mwingi ?, Huyu Nape na hawa TCRA wameshindwa Kazi ? au watafuatilia na kuleta majibu baada ya Kombe la Dunia Kuisha, na hapo ndio itarudi kuwa Free to Air ?
Sina neno kama sio Free to Air, basi iache kuchukua Ruzuku, sio vema Ruzuku wachukue alafu kwenye vingamuzi vingine isifanye kazi; Kama vipi wawalipe hivyo Vingamuzi ili wawaonyeshe kwenye hii la World Cup
Sawa mkuu nimekupataMkuu FTA sio issue ya Kingamuzi FTA ni FREE TO AIR kwahio hata kama hauna kingamuzi na TV yako ina kisimbuzi automatically ni kwamba unaipata Freely...
Nasikitika wewe kama mlipa Kodi bado haujaona tatizo; Ruzuku TBC wanapata na moja kati ya mikataba yao na wewe ni kwamba hii kitu ipatikane freely kwahio wewe badala ya kuona tatizo kwamba unaibiwa na kushika mwizi unaona suluhisho ni kuacha kuwa na mali (sasa hapo unamkomoa nani)?
Inabidi watanzania tuwe na principles; na Mbuyu unaanza kama mchicha.., leo wanaibia watanzania (u-Free to Air) basi katika kipindi hiki wasichukue Ruzuku...
Wewe unayetumia pesa yako kuwalipa / Kuwa-facilitate TBC unastahili nini ?kuna watu mnastahili kupewa nishani. Unapoteza muda wako kutazama TBC?
sasa wewe unayelalama unadhani utasababisha mabadiliko gani kwa taasisi inayoendeshwa na makada wa ccm? wake up and stop wasting your energry. TBC kubadilika lazima mifumo ya kitaifa ya uongozi na dola ibadilike. imeanzishwa kwa mujibu wa sheria, ungejiuliza hiyo sheria inaizuia tbc kufanya upuuzi?...broaden your thinkingWewe unayetumia pesa yako kuwalipa / Kuwa-facilitate TBC unastahili nini ?
Kweli kwa Mtaji huu tutaendelea kupigwa mpaka vifo vyetu..., Kwahio sababu mtu hapandi Train anapanda Ndege, au Hapandi Meli ndio akae kimya kama pesa za UMMA zinapigwa au zinafujwa au hazifanyi kilichopangwa ?
you seriously need to wake up. in this depiction, unadhani wote wataondoka? ....ni kama ambavyo wengi tumeshaisusa tbc lakini wachache wenu bado mnaing'ang'ania
Kumbe umeongezea Points nyingine?!!sasa wewe unayelalama unadhani utasababisha mabadiliko gani kwa taasisi inayoendeshwa na makada wa ccm?
Kuhakiki / Kudai / Kuhoji matumizi ya Kodi zako ni wastage of energy ?wake up and stop wasting your energry.
Aisee !!!, Yaani suala la kuwauliza TCRA / Waziri wa Habari Wahusika wa TBC inahitaji mifumi ya Kitaifa ibadilike ? Kumbuka hili lipo wazi Sheria za Free to Air zipo wazi na hata FIFA kuwapa TBC kuonyesha Game kwa bei ndogo ni sababu ya kuwa FTA na (TV ya Taifa) kwahio kufanya vinginevyo ni ufisadi...TBC kubadilika lazima mifumo ya kitaifa ya uongozi na dola ibadilike.
Hakuna Sheria inayoruhusu Upuuzi (ingawa upuuzi unaweza ukawa subjective; lakini hili la FREE to AIR wala sio Siri na lipo Kisheria kulingana na Leseni zao..., Na since wanachukua RUZUKU basi wakitaka hivyo waanze kuuza Channel yao hilo halina shaka ila na Ruzuku waache kuchukua...imeanzishwa kwa mujibu wa sheria, ungejiuliza hiyo sheria inaizuia tbc kufanya upuuzi?...broaden your thinking
Na katika hio depiction unadhani wanaokaa hapo ni kina nani kama sio wewe ?!!!you seriously need to wake up. in this depiction, unadhani wote wataondoka? ....ni kama ambavyo wengi tumeshaisusa tbc lakini wachache wenu bado mnaing'ang'ania
Na watu wapo Kimya !!! Yaani Kodi zetu zinazowapa Ruzuku hazitoshi..., Unadhani hata FIFA wangejua huu Upuuzi wangewapa hii kitu kwa bei walizowapa ?Ni Free to Air ila wakati huu wa kombe la Dunia ni Free to Pay.
Watu wanapenda TBC au kinachooneshwa hapo ?; TV zote za Taifa zimepewa ahueni katika kuonesha mtanange (ili majority waweze kuona the Beautiful Game no matter kipato chao)Ile ile TBC mliyo kuwa mnaibeza siku zote ama ni TBC ipi? Kipindi hiki cha world cup ndo mnaipenda?