RoadLofa
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 1,509
- 3,313
- Thread starter
- #21
Hapana ni ya Bomba ,kaitafute iyo sabuni jaribu kuitumia uje unipe jibu inaitwa super wash katembelea upepo WA white wash,mi niliagiza white wash nikaletewa super wash
Usikute ulifua kwa kutumia hard water..!!
Tatizo kwenye mitandao watu tunachukuliana poa sana, 😀😀 ila iyo issue ya bidhaa ni yetu site ipo siku litampata atakuja uku ,tatizo wabongo wengi vichwa panzi utakuta mtu anatetea mtu kuuliwa Israel na Palestine wakati Dar watu kibao wanauwawa na wengine kupoteaUkiona dogo ananunua vipande jua ndio kwanza anajitafuta hapo umeongea kirahisi aende ofisini kwao angekua na hizo nauli si angenunua Omo tu afue bila tabu shida wabongo mkishiba kidogo hamjui shida za wengine..