Braza Kede
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 3,840
- 6,844
Hahahaeti wakuu
Kunani hapa?
Mbona bado hizi meseji za ajabuajabu zinaendelea kutumwa licha ya mabiti yanayopigwa kila mara na hawa jamaa wa TCRA?
Kwanini hawafungiwi hawa watu?
View attachment 3236559
Hata Mimi wamenitumia Upumbavu huu,tuna hiyo sms kwenye namba 15040.eti wakuu
Kunani hapa?
Mbona bado hizi meseji za ajabuajabu zinaendelea kutumwa licha ya mabiti yanayopigwa kila mara na hawa jamaa wa TCRA?
Kwanini hawafungiwi hawa watu?
View attachment 3236559
mimi naona kama mfumo wa kupata hizi namba umekuwa rahisi sana ndomaana mtu anaweza akafanya ujinga akijua akishtukiwa anaenda kusajili namba nyingine mpya.Hata Mimi wamenitumia Upumbavu huu,tuna hiyo sms kwenye namba 15040.
sana aiseeInashangaza sana
Wakalitazame!mimi naona kama mfumo wa kupata hizi namba umekuwa rahisi sana ndomaana mtu anaweza akafanya ujinga akijua akishtukiwa anaenda kusajili namba nyingine mpya.
ilibidi wakaze kwenye usajili wa hizi namba isiwe mchekea kama hivi.
halafu wachukue majina yote matatu ya mtu akizingua tu unakata usajili wake mazima kwa mitandao yote. hii michezo ingeisha.
apo shida ipo kwenye izo kampuni ya simu maana hata kama taarifa zinaingizwa na wale vijana wa mitaani mwisho wa siku kampuni ndo wanasajili izo taarifa.Hiyo kazi ni ngumu sana. Tanzania wengi bado washamba hata waliofika chuo wenye degree.
Wanaosajili laini ndio wanafanya uhuni wa kusajili laini kwa taarifa za mtu, watu hawajua hata kuangalia namba zilizosajiliwa na NIDA yake.
It will takes time, mana kuna human error nyingi na sio technical
kabisa aiseeWakalitazame!
Utapeli wote unafanywa kwa kushirikiana wafanyakazi wa simu na mabenki kwa kupeana taarifa za wateja wao!Tuanze na haya makampuni ya simu...
Kumbuka ajira yao inategemea uwepo wa matapeli hao, wakiwamaliza(uwezo wanao) hawatakuwa na kazi ya kufanya.eti wakuu
Kunani hapa?
Mbona bado hizi meseji za ajabuajabu zinaendelea kutumwa licha ya mabiti yanayopigwa kila mara na hawa jamaa wa TCRA?
Kwanini hawafungiwi hawa watu?
View attachment 3236559
daah akasafisha nyota kiukwelikweliNa kusema ukweli hao matapeli wanafanikiwa kwani kuna mmoja hawa wanaotuma ujumbe wa kusafisha nyota na kutoa utajiri
Alifanikiwa kupata hausigeli aliyetaka kusafisha nyota alianza nae taratibu mpaka yule hausigeli kumkaribisha nyumbani mabosi wakiwa kazini.....Tapeli alifanikiwa kuondoka na pesa ya kutosha baada ya kufanikiwa kuingia chumba cha mwenye nyumba, kupekua kabati na kufanikiwa kukutana na bahasha iliyohifadhiwa kiasi cha dola 3000
Halafu mtu kama huyo anarudishaje hiyo pesa maana kwao huo mshahara wake ndio ulikuwa tegemeodaah akasafisha nyota kiukwelikweli
Ukweli mtupu imeshanitokea zaidi ya mara tatu , ukiingia mpunga wa maana ndio sms zao zinaingiaHalafu cha ajabu ni kwamba ukiweka tu pesa nyingi kwenye simu haichukui muda utaona inaingia message ya 'ile pesa tuma kwenye namba hii'
apo hamna namna kiongozi labda umpake mafuta tu mmalizaneHalafu mtu kama huyo anarudishaje hiyo pesa maana kwao huo mshahara wake ndio ulikuwa tegemeo