Hivi TCRA imewashindwa kabisa hawa watu wanaotuma SMS za kitapeli au kuna nini kinachoendelea?

Hivi TCRA imewashindwa kabisa hawa watu wanaotuma SMS za kitapeli au kuna nini kinachoendelea?

Screenshot_20250215-111344_Messages.jpg
 
Screenshot_20250215-112528.png

Screenshot_20250215-112451.png
 
Attachments

  • Screenshot_20250215-112104.png
    Screenshot_20250215-112104.png
    359.1 KB · Views: 2
Inashangaza sana
Wewe block tu namba hizo

Kampuni za simu siku zote hutuma hadi meseji kuwa namba zetu za mawasilisno ya kiofidi ni hii

Sasa wewe kama huzingatii maagizo ya kampuni ya simu husika ukitapeliwa wakijifanya kampuni husika hutakuwa na pa kushtaki iwe kampuni husika au TCRA

Zingatieni maagizo mnapewa na kampuni husika kuwa mawasiliano na kampuni mtumie namba ipi

Mleta mada ondoa upumbavu wako hapa kuwalaumu TCRA
 
eti wakuu

Kunani hapa?

Mbona bado hizi meseji za ajabuajabu zinaendelea kutumwa licha ya mabiti yanayopigwa kila mara na hawa jamaa wa TCRA?

Kwanini hawafungiwi hawa watu?

View attachment 3236559
Hawa TCRA ndiyo miongoni mwa 40% ya wafanyakazi wa umma wanaolipwa mshahara bila kufanya kazi kama alivyobainisha Waziri Simbachawene!
 
eti wakuu

Kunani hapa?

Mbona bado hizi meseji za ajabuajabu zinaendelea kutumwa licha ya mabiti yanayopigwa kila mara na hawa jamaa wa TCRA?

Kwanini hawafungiwi hawa watu?

View attachment 3236559
Unaweza ukawasjauri wafanyeje ? Anzia malampyni ya simu.....washauri waganye nini.....ni ngumu sana control mtu mmoja mmoja....lakoni toa maoni yako wafanyeje
 
Unaweza ukawasjauri wafanyeje ? Anzia malampyni ya simu.....washauri waganye nini.....ni ngumu sana control mtu mmoja mmoja....lakoni toa maoni yako wafanyeje
kiongoz soma vzuri tokea mwanzo kuna ushauri tyr upo uko
 
.......sio rahisi hivyo number zimafungiwa kila siku....bado wapoo
 
Back
Top Bottom